THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Kule tumeshamuandaa Dr.Hussein Mwinyi na ameshakwiva kuingoza SMZFYI 2020 anakua Rais WA smz anamkimbia Chikungunya!
Tunangoja muda saa na dakika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule tumeshamuandaa Dr.Hussein Mwinyi na ameshakwiva kuingoza SMZFYI 2020 anakua Rais WA smz anamkimbia Chikungunya!
mbona vishilingi milioni 400 tu! huoni wenzake walivyopiga VXShaka ametisha..$200000 Mae, MTU kama huyo hatokuelewa ukimwambia habari za vyuma kukaza
Pole January Makamba naona umetafutwa sana..now umepatikana.. wachache watalijua hili. Ulikuwaga mbunge mzuri tu..
Poleni! siku hizi anaweza kupanga mambo?Kule tumeshamuandaa Dr.Hussein Mwinyi na ameshakwiva kuingoza SMZ
Tunangoja muda saa na dakika.
Ahsante!!Poleni! siku hizi anaweza kupanga mambo?
we ajuza humu sio facebook.VP KUHUSU MWENYEKITI WAKO .
ndio maana hii mitandao itatuhanith kila kukichaDuh kumbe CCM ina hisa channel ten na halotel? Mwenye kujua hili atujuze zaidi
hapo lazima anayetafutwa ni Nape tu...1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi
2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa
3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten
4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM
5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM
6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000
7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi
8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)
9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda
10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Yeye kapu lake ni lile la Serikali, na lile halikauki.Eti Chenge hayupo, kweli jamani?
Yale magari sijui yaliuzwa skrepa?!Hivi chadema huwa Wana Mali?
Hapa ndio ngoma inogile. Cha msingi sheria zifuatwe.1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi
2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa
3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten
4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM