Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Nimecheka hiyo ya Wazi Mkuu kuwatimua wajumbe wa kamati ya uchunguzi.

Ama kweli kila mtanzania mwizi.!
 
upload_2018-5-31_14-27-31.jpeg
 
ila mwisho wa siku msisahau kusema Ccm oyeee!
 
Kizazi cha nyoka:
Babu jizi
Baba haramia
Mtoto mwizi
Mjukuu kibaka
Kitukuu jambazi
Tulieni makomrade tumedanganywa kwa hila,pambaneni na hali zenu.
 
Ukimuuliza huyu kwanini ulifanya hivi atajibu niliambiwa na mkapa
Mwingine nae atamtaja jk
Mwingine atamtaja mang'ula
Mwingine atalalamika mbona magufuli hajaguswa.
 
hiyo number 02 nimecheka sana; yaani eti umuhoji PM aliyeko madarakani??? wewe nani?? lazima wanausalama wakutoe nduki
 
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi

2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa

3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten

4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM

5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM

6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000

7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi

8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)

9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda

10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Na waliouziana nyumba za serikali kwa bei ya kutupa watajwe pia
 
Hakuna kitu wamemshindwa Chenge mna deal za maana wanamsakama Shaka
 
Wakati yule Dr Shika yeye anaigiza, wengine wanafanya ukweli ukweli.
 
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi

2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa
...
..
NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Mi nasubiria Bashiru atekeleze hapa tu ndio nitaamini amedhamiria,
Otherwise nae anakua wale wale tu, Mikwara miingi kumbe hakuna kitu
 
Back
Top Bottom