Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

SOFIA SIMBA aliwahi kusema hakuna msafi ktk hilo lichama hakuna msafi, na km ni kuondoa uchafu nani atabaki.
 
Mwanachadema hajifichi ndugu..utajua tu upeo wa akili zao kupitia maneno yao..kubeza, kupayuka, matusi na kashfa
Akili zako ndogo kwel yaan mtu akipinga anakuwa chadema? Kuna mtu anapayuka kwenye kuandika? Siwezi kubishana na ww ambae Kazi yako ni kusifia serikali na ccm na unalipwa hyo buku 7 kutokana na hilo ila elewa kuna vijana tunauchungu na taifa letu na ile inshu ya makinikia ndo iliniuma zaid maana ilikuwa inshu ya kitaifa na sio kisiasa wala kichama sasa kama ile ilikuwa vile na hakuna aliyeshtakiwa vipi hii unadhani itawezekana? Tulichokipoteza kwenye makinikia kinafanana na hizi mali za chama zilizopotea? Tena mali zenyewe zinawahusu wana ccm tu na sio watanzania wote
 
Yaani Bushiri sijui Bashiru awachunguze yeye mwenyewe kisha awashtaki yeye mwenyewe? Hahahahaha only in CCM
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru CCM itoke na nchi ipone vinginevyo mtapata tabu Sana
 
Mh Rais anaitengeneza njia njia ambayo itakuwa msingi wa ustawi wa chama na taifa kwa miaka 100 ikiwa tu tutamuelewa nakumpa ushirikiano
 
Back
Top Bottom