Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Simuoni Zakhia Meghji
Simuoni Sofia Simba
Simuoni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Dar!
Simuoni Emmanuel Nchimbi
Simuoni............
Simuoni ..........
Simuoni ..........Mwenyekiti Mstaafu wa CCM
Simuoni Jokate
Seki wa Six je?
Unamuona?
 
Kwangu mimi hata kufikia hatua hii kwa CCM si kitu kidogo. Tatizo letu tunaangalia mambo haya kwa macho mepesi sana. Ingekuwa JF yetu ya enzi zile hii mijadala ingetendewa haki. Siasa zetu inabidi zibadilike.
 
Nasikia eti lile jengo refu pale kariakoo karibu na cbe ni mali ya chama
 
Tatizo ni kwamba jpm hajawahi kuwa kiongozi ndani ya ccm ...kama angekuwa kiongozi hii kamati ingemgusa....hakuna mtu ndani ya ccm si mpigaji...na haitatokea...siku ikitokea basi sisi watakuwa wamebaki wanachama wawili au mmoja over!!!
 
Simuoni Zakhia Meghji
Simuoni Sofia Simba
Simuoni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Dar!
Simuoni Emmanuel Nchimbi
Simuoni............
Simuoni ..........
Simuoni ..........Mwenyekiti Mstaafu wa CCM
Simuoni Jokate


hapo ndio utajua washafeli kabla ya kuanza.
Mfano issue ya Halotel its well know who owns halotel, Je wanamuogopa?
 
Ahsante!!
Lakini kaa ukijua hakuna linalotokea kwa bahati mbaya.

Na maandalizi ya Dr.Hussein hayajaanza leo wala jana.

Tujipe muda
Kwa hiyo hivyo alivyo ni matokeo ya maandalizi? Iko taabu! Nahisi waandaaji hakuna anayetaka maendeleo.
 
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi

2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa

3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten

4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM

5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM

6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000

7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi

8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)

9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda

10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.

Barshite je?
 
Uchunguzi ulianzia mwaka gani? 61 au? Waachane na yalopita waanze upya kwanza kwa kurudisha mali zote mikononi mwa chama na atakayeleta ubishi ndio ashughulikiwe. Fukua fukua itawabamba wengi wengine hawakamatiki,wengine walilazimishwa na maelekezo toka juu. Nashangaa abuduli eti hajashikwa kwa lolote! Tuache utani Mali nyingisana zimeliwa
 
Tubwana mdogo uvccm tujambawazi yaani twakufunga chapchap tuwe fundisho kwa wengine, kumbe sahihi ya lowasa iligushiwa? Nape atupe ufafanuzi usiokuwa na shaka.
 
Back
Top Bottom