Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Haya Mambo Ni Ya Aibu Hata Kusikika

Ili Nchi Iendelee Inahitaji
1. Watu
2. Uongozi Bora
3. Siasa Safi
4. Ardhi


Mungu Ni Mwema Wakati Wote
 
Kuna wazee hawataonekana hapo orginal report anayo mkulu, kwenye hii report kuna majina yalisha chomolewa, juzi Mkapa&co kwenda kuweka sawa ikulu, ili kukilinda chama, kuna wazee wakitajwa hapo Tanzania itasimama kwa mda




hata lile joka lenye makengeza linakwepa mishale kila mara wakati lenyewe lina akaunt hadi uswiss hawa ni vidagaa majizi yapo
 
ASANTE KWA KUTIMIZA KAZI YA ALIYEKUTUMA
 
VP KUHUSU MWENYEKITI WAKO .
 
mbona ni vitu vidogo hivyo kwa chama letu la maulaji,hakuna atakaewajibishwa hapo hata mmoja zaidi ya porojo tu,
 
ACHA SIASA ZA MAJI TAKA
 
Huyo katibu wenu mpya akisema asome kilichoandikwa humo bila "editing" nawahakikishia hakuna anayepona pale Lumumba na itatengeza u-team mkubwa afu ndo itakua mwisho wao
 
Kwa kuwa Chama siku za nyuma kilishawahi kuiuzia Serikali baadhi ya mali zake (km za Chimwaga), sasa wangeuzia Serikali viwanja vya michezo (Tabora, Mwanza, Arusha, Singida etc) ili kuendeleza michezo na wachezaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…