Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Mh Rais anaitengeneza njia njia ambayo itakuwa msingi wa ustawi wa chama na taifa kwa miaka 100 ikiwa tu tutamuelewa nakumpa ushirikiano
Una akili timamu? Tumpe ushikiano gani?? Yeye mwenyewe mpigaji mkubwa tu!! Zile nyumba alizo honga kwa kimada wake huzikumbuki? Trillion 1.5 nayo hukuisikia?? Vipi kivuko kibovu??
 
CCM ina hisa halotel? how?
Chama kinafanya biashara nje ya ruzuku lukuki iliyonayo! Ila serikali ndo hairuhusiwi kufanya biashara isipokuwa inaweka mazingira bora na rafiki kwa wawekezaji ikiwemo CCM. very difficult concept!
 
Simuoni Zakhia Meghji
Simuoni Sofia Simba
Simuoni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Dar!
Simuoni Emmanuel Nchimbi
Simuoni............
Simuoni ..........
Simuoni ..........Mwenyekiti Mstaafu wa CCM
Simuoni Jokate
Lakini kuna ukweli. Ripoti bila Sofia Simba na Meghji siyo ripoti. Haya yalikiwa untouchables na magwiji kabisa ndani ya CCM.
 
CCM chuo cha wezi wa mali za watanzania,ccm hawana mali zao zaidi ya kuiba mali za 8wananchi..viwanja vyote vya mpira walihodhi na baadhi ya stand za mabasi,open space
 
hakuna lowasa na sumaye
 

Hivyo vidagaa havituhusu....iko wapi 1.5tr yetu?
 
Kwangu mimi hata kufikia hatua hii kwa CCM si kitu kidogo. Tatizo letu tunaangalia mambo haya kwa macho mepesi sana. Ingekuwa JF yetu ya enzi zile hii mijadala ingetendewa haki. Siasa zetu inabidi zibadilike.
Wazee wanaojua kuchapana huwa wanajifungia ndani wachapana halafu aliyepigika anakubali anakiri ili asije shindwa kusimama, mzee aliyemchapa anamsaidia maji ya kunawa uso na ya kunywa, anamwambia ukitoka nje useme ulidondoka kwenye kiti bahati mbaya.
Yanaisha.
 
kama ni hivyo itabidi tuwakaribishe ccm wote maana wote ni wezi nashangaa kwanini yule aliyeuza nyumba za siriikalii na nyingine kumpa demu wake hajatajwa?
Ufike wakati muache kuwaza kwa kutumia ubongo wa nyumbu..kwani aliuza kama zake au serikali?? Je pesa alitia mfukoni au ziliingia serikalini?? Huyo demu wake unamjua au umeklemishwa?? Nyie si ndio mliwaambiwa kwa miaka takribani nane kuwa lowasa fisadi kisha ndani ya wiki mkaambiwa sio fisadi mkadhihirisha mlivyo wepesi..muwe mnatumia ubongo wa binadamu kufikiri saa zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…