Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

acheni uongo waziri mkuu hawezi nunua mali za wizi..
 
Ufike wakati muache kuwaza kwa kutumia ubongo wa nyumbu..kwani aliuza kama zake au serikali?? Je pesa alitia mfukoni au ziliingia serikalini?? Huyo demu wake unamjua au umeklemishwa?? Nyie si ndio mliwaambiwa kwa miaka takribani nane kuwa lowasa fisadi kisha ndani ya wiki mkaambiwa sio fisadi mkadhihirisha mlivyo wepesi..muwe mnatumia ubongo wa binadamu kufikiri saa zingine
FB_IMG_1493010472708.jpg
 
Natamani sana kumuona January akisajiliwa katika makubaliano ya Kakonko
 
Hii ina onesha wazi ccm ni majambazi.
Mwekezaji lazima agawe share kwa ccm !
Huu ni ufisadi mkubwa unao fanywa na ccm dhidi ya wawejezaji kwani hizo share hawa zilipii bali ni wizi tu
 
Hii ina onesha wazi ccm ni majambazi.
Mwekezaji lazima agawe share kwa ccm !
Huu ni ufisadi mkubwa unao fanywa na ccm dhidi ya wawejezaji kwani hizo share hawa zilipii bali ni wizi tu
......
.....hatareee
 
Hili ni swali ambalo nmekuwa nikijiuliza sana. Huyu mzee ambaye tuliaminishwa kuwa ni fisadi lakini mpaka sasa hajaw kupelekwa mahakamani au hata kutajwa kwenye ripoti kadhaa za kuhusika na ufujaji wa mali za nchi hii.

Ni nini hasa kinachotokea? Kwa nini hajashtakiwa mpaka sasa? Kwa nini anaogopwa? Hya yakishindikana basi ni bora tu kiuungwana aombwe msamaha. Siasa chafu ni kitu kibaya chenye laana kwa maisha yetu. Mwaka 2005 tulimkosa dr salim ahmed salim kwa siasa kama hizi tukaja kupata watu wa hovyo hovyo wapuuzi kuongoza nchi.

Waliitafuna nchi wao familia zao... wakajitajirisha sana kupitia kodi za watanzania hawa maskini. Miaka 10 majambazi haya yamejitengenezea ukwasi mkubwa sana. Kwa kutufanya sisi watanzania wapumbavu.tukapewa adui lowassa na mengine yakabaki nyuma ya kivuli chake yakikenua meno kinafiki.

Tunawataka mafisadi kweli kweli washtakiwe....
 
Tusubiri kwenye kesi ya mali za chama labda watamshtakia hapo
 
CCM chama kinajizolea Ruzuku Hazina na kujimilikisha mali za wananchi kiubadhilifu...sasa bali zinaingia mikononi mwa mafisadi ..
haiwezekani chama cha siasa kikawa kama kampunibya kibepari alafu kikawa kinaturubuni na sera za kijamaa..[HASHTAG]#bringbackRasirimaliZetu[/HASHTAG].
 
Back
Top Bottom