kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Itaanzishwa mahakama ya chama, maana ile ya mafisadi ni ya serikaliSasa watapandishwa kwa mahakama zipi? Mafisadi? Kisutu? Au wana mahakama zao hukoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaanzishwa mahakama ya chama, maana ile ya mafisadi ni ya serikaliSasa watapandishwa kwa mahakama zipi? Mafisadi? Kisutu? Au wana mahakama zao hukoo
sawa mbona hawapelekwi mahakama ya mafisadi?1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi
2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa
3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten
4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM
5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM
6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000
7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi
8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)
9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda
10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Ripoti mali za CCM; Mwakyembe, Bulembo, Shaka (UVCCM), Sixtus Mapunda, Makatibu 11 wa Mikoa hawachomoki
=====
UPDATE:
Juni 05, 2018
View attachment 794406
Shugulikeni na ruzuku ya ufipa kwanza.Hakuna atakayechukuliwa hata mmoja maana hicho chama Hakuna mtu asiye fisadi hata mmoja wote ni mafisadi wa kutupa.
Akipelekwa Segerea itawapendeza wafungwa wengi sana
Watapata kisamvu cha kopo.kwann mkuu wafungwa watapendezwa na hilo?
zirudi kwa nani toka kwa nani na zilitolewa na nani ? ni za ccm au za watanzania? mana ziipatikana enzi za chama kimoja ukitoa chachechache hivi!mali zote za ccm lazima zirudi
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi
2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa
3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten
4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM
5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM
6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000
7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi
8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)
9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda
10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Ripoti mali za CCM; Mwakyembe, Bulembo, Shaka (UVCCM), Sixtus Mapunda, Makatibu 11 wa Mikoa hawachomoki
=====
UPDATE:
Juni 05, 2018
View attachment 794406
Nadhani Rais wangu utafanya kweli this time.JPM haki ya mama ukifunika kombe,hata kama ni mwana CCM mwenzangu kura yangu hupati.Najua hatuko pamoja.1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi
2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa
3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten
4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM
5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM
6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000
7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi
8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)
9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda
10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Ripoti mali za CCM; Mwakyembe, Bulembo, Shaka (UVCCM), Sixtus Mapunda, Makatibu 11 wa Mikoa hawachomoki
=====
UPDATE:
Juni 05, 2018
View attachment 794406
Mawindo yalianza siku nyingi sana.Pole January Makamba naona umetafutwa sana..now umepatikana.. wachache watalijua hili. Ulikuwaga mbunge mzuri tu..