Haya hapa makundi ya watanzania waliozarauliwa mitandaoni 2023

Haya hapa makundi ya watanzania waliozarauliwa mitandaoni 2023

Vijana
Walimu
Wahitimu wa vyuo vikuu wasio na ajira
Single maza
Kati ya jambo ambalo Mwanadamu anapaswa kutokulifanya ni kumdharau Mwanadamu mwenzake wakati bado yupo hai hilo ni kosa kubwa sana. Mungu siku zote huvitumia vitu vinyonge ili kuiviaibisha vile vyenye nguvu.
 
Binafsi ni mwl na huwa naziona hizo kashfa zikitolewa ila huwa hazinipi shida sana maana huwa zinatolewa na sadists ambao kwa namna flani wanachangamoto wanapitia ambazo sehem pekee ya kutolea hasira ni mtandaoni
 
Mnakosea kitu kimoja kupenda kurekodi matukio na kupost, baada ya kukemea tukio, tabia za kinafik na kuchongeana, baada ya kusolve na hiishe, mnageuka waandishi wa habari huru.
 
Back
Top Bottom