Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Ndugu wadau wa Chit chat Salaam...
Leo nawaletea khabari njema za vijana walioamua kuihama rasmi kambi ya ukapera na kuamua kuingia katika JELA ya ndoa wakiwa na matumaini kibaao.. Kijana Myakubanga kaamua kumvuta mtoto Queen Kan jumla jumla huku mzee wa mia figganigga kaamua nae kufanya mia kwa mrembo Heaven on earth.. Napenda kuwatangazia kuwa hizi ndoa zote zitafungwa siku ya jumamosi ya tarehe 5 October.. wenye wivu wasafirishe unga kwenda China...

Msisitizo : Sitaki niskie habari ya pingamizi (najua hamkosekani) . Kuna watu walikuwa wanawaona watoto hapa wanajichekesha tu wakiona walio serious wanabeba vitu wanaanza kulialia... hahahahaaa... Inakuwa kama yule aliyekwenda kuazima jogoo akaanza kupiga story mwenzie akaja akaenda straight to the point akaondoka na jogoo akamuacha yule wa awali anambwelambwela.. Habari ndo hiyo Queen Kan kampata Myakubanga na figganigga kampata Heaven on earth..

c.c gfsonwin na watu8
Judgement na ruttashoborwa kwa ajili ya kuweka kumbukumbu za kisheria sawa,
ladyfurahia niandalie vyeti vya ndoa za hawa watu.
Bishanga na Mtambuzi kwa ajili ya kujua kuwa ndoa zimeongezeka tarajieni clients wengi zaidi
Vin Diesel kwa taarifa tu.

Adios amigos
Baba V Mwenyekiti wa kudumu 2012
 
Last edited by a moderator:
Jamani hatimaye babe wangu figganigga kaamua kufanya kweli

Nina furaha isiyo na kifani....................
 
Last edited by a moderator:
Hureeeeeee! Na wenye wivu wajinyonge kwa udenda meeeeeen!

Hongereni watarajiwa, Mungu awasaidie mvishinde vishawishi vya warugaruga wa humu ndani hadi pale mtakapo funga pingu za maisha

halafu Baba V, hivi Mamndenyi amefunga ndoa lini au bado yupo kwenye mtongozo?
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nitoe pongezi zangu za dhati kwa watarajiwa wote.

1. Ndoa si kama kwenda choo, kuwa aliyekula wali na aliyekula ugali wote mtapata choo. Ndoa ni japo nyeti sana.

2. @figganiga na Myakubanga mnaelekea kuyakwaa majukumu mapya. Zile tabia zenu mziache, msipoziacha nitawaanika hadharani.

3. Heaven on earth nakuomba upunguze harakati. Ndoa haihitaji harakati. Masuala ya haki sawa yataiponza ndoa yako.
a. Mwanaume hakosei hata siku moja.
b. Mwanaume haulizwi kwa ukali.
c. Paja zote ni za mwanaume. wewe kipapatio kinakutisha.
n.k.


NB.
Ndugu mwenyekiti, hapa jukwaani kuna vijana wa chakula tu na kuzalisha samadi.

Japo nina wivu ila sijinyongi.
 
Last edited by a moderator:
Mzee kwanza nikushukuru kwa Pongezi zako......Nimezipokea kwa mikono miwili

Sa hivi mambo ya uanarakati nayaweka Kando MUME kwanza mengine baadae.......
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru sana kwa nasaha zako Mzee mwenzangu, ni kweli hawa vijana ni lazma watambue kuwa ndoa sio tu kugundua style mpya za kungonoana deile..
 
Last edited by a moderator:
Mzee kwanza nikushukuru kwa Pongezi zako......Nimezipokea kwa mikono miwili
Nami nashukuru kama umezipokea Pongezi zangu.

Kumbuka kunipa kadi ya mchango nami nitie baraka.

[QUOTE
Sa hivi mambo ya uanarakati nayaweka Kando MUME kwanza mengine baadae.......[/QUOTE]

Nakutakia kila la kheri ktk maisha mapya.

Lady doctor mpe somo, sijui tuliite " pre marriage" ama???
 
Last edited by a moderator:

Mamndenyi kachoka kuolewa kwa sasa akipata mtu wanaandikishana kwa mjumbe. Kwa sasa wamewekeana mkataba na chama.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana kwa nasaha zako Mzee mwenzangu, ni kweli hawa vijana ni lazma watambue kuwa ndoa sio tu kugundua style mpya za kungonoana deile..

hahaaa Baba V yaani leo umeanya kweli nashukuru sana

Kamanda mwenzangu Slave sijui umemuona wapo nimpe hizi taaria.........
 
Last edited by a moderator:
Nami nashukuru kama umezipokea Pongezi zangu.

Kumbuka kunipa kadi ya mchango nami nitie baraka.

[QUOTE
Sa hivi mambo ya uanarakati nayaweka Kando MUME kwanza mengine baadae.......


Mzee kadi ya mchango utaipata siku ya Kesho......ushindwe kuchanga tu

wewe mwenyewe......Somo la ndoa nilishaanza kulipata siku nyingi kutoka

kwa huyo huyo Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
safi... msigombane jamani, mwenyekiti nae ataleta ulinzi shirikishi ktk ngazi ya familia kama kova
 
Hii ni siku niliyo kuwa nikiisubiri sana,
hatimaye J'mosi mtoto mzur Queen Kan atakabidhiwa kwangu..
Nakupenda sana Queen Kan,
I am glad that we are abt to make it!
 
Last edited by a moderator:
Nami nashukuru kama umezipokea Pongezi zangu.

Kumbuka kunipa kadi ya mchango nami nitie baraka.

[QUOTE
Sa hivi mambo ya uanarakati nayaweka Kando MUME kwanza mengine baadae.......

Nakutakia kila la kheri ktk maisha mapya.

Lady doctor mpe somo, sijui tuliite " pre marriage" ama???[/QUOTE]

Mzee wii wangu ananijua vyema kabisa kuwa mi sinaga mchezo na ndoa nitampika hadi aive asije akatutia aibu kama ya Mamndenyi hapa, marufuku kwa mwanamke kuachika!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…