Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

niko poa....jana nilimuagiza awe anakuandalia breakfast kutokana na hali yako kwa sasa,,, ameshaandaa?

hahahaaa, my dia hali yangu sio mbaya sana kiasi kwamba nishindwe kuandaa breakfast, ila shughuli nyingine ananisaidia kama kawa, nampenda sana Arushaone ni muelewa na anajali... Ndio nimemuwekea chai mezani nasubiri atoke mazoezi, aoge then apate breakfast ndio aende kwa job!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa, my dia hali yangu sio mbaya sana kiasi kwamba nishindwe kuandaa breakfast, ila shughuli nyingine ananisaidia kama kawa, nampenda sana arushaone ni muelewa na anajali... Ndio nimemuwekea chai mezani nasubiri atoke mazoezi, aoge then apate breakfast ndio aende kwa job!

ana bahati umemtetea.....mpende hivyohivyo mpaka liamba..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom