Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni na maji yakisha mwagika hayazoleki. yakale hayanuki. wakati wake ushapita. Mungu kapanga uishi na mimi sio kwamba hakumuona Vin Diesel la hasha bali Mungu aliona mimi ndo nakufaa huyo mwingine magumashi. usiumize kichwa kumuwaza coz mtoto sio riziki. mia

Babe nimekuelewa.........

I love u soooooo much figganigga........
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wadau wa Chit chat Salaam...
Leo nawaletea khabari njema za vijana walioamua kuihama rasmi kambi ya ukapera na kuamua kuingia katika JELA ya ndoa wakiwa na matumaini kibaao.. Kijana Myakubanga kaamua kumvuta mtoto Queen Kan jumla jumla huku mzee wa mia figganigga kaamua nae kufanya mia kwa mrembo Heaven on earth.. Napenda kuwatangazia kuwa hizi ndoa zote zitafungwa siku ya jumamosi ya tarehe 5 October.. wenye wivu wasafirishe unga kwenda China...

Msisitizo : Sitaki niskie habari ya pingamizi (najua hamkosekani) . Kuna watu walikuwa wanawaona watoto hapa wanajichekesha tu wakiona walio serious wanabeba vitu wanaanza kulialia... hahahahaaa... Inakuwa kama yule aliyekwenda kuazima jogoo akaanza kupiga story mwenzie akaja akaenda straight to the point akaondoka na jogoo akamuacha yule wa awali anambwelambwela.. Habari ndo hiyo Queen Kan kampata Myakubanga na figganigga kampata Heaven on earth..

c.c gfsonwin na watu8
Judgement na ruttashoborwa kwa ajili ya kuweka kumbukumbu za kisheria sawa,
ladyfurahia niandalie vyeti vya ndoa za hawa watu.
Bishanga na Mtambuzi kwa ajili ya kujua kuwa ndoa zimeongezeka tarajieni clients wengi zaidi
Vin Diesel kwa taarifa tu.

Adios amigos
Baba V Mwenyekiti wa kudumu 2012
Baba V, mbona una tabia za kipopo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom