Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
Baba V tumeiona....hata kama wameibania kikubwa ndoa yetu ifungwe tuMkuu angalia post ya juu hapo.. Nilitaka iwe thread naona mods wanaipiga chini...
Last edited by a moderator:
Baba V tumeiona....hata kama wameibania kikubwa ndoa yetu ifungwe tuMkuu angalia post ya juu hapo.. Nilitaka iwe thread naona mods wanaipiga chini...
Wadau leo ndo leo, mambo yanakwenda yakinyooka mahali hapa.. Ndoa ndo zimeshafungwa hivyo asubuhi ya leo na hapa tunaendelea na taratibu ndogo ndogo.. Ni figganigga na Heaven on earth , kwingine ni Myakubanga na Queen Kan..... Kulikuwa na wasiwasi kidogo kutokana na hali ya mtandao ila baada ya kusikia kuwa kulikuwa na mkono wa Vin Diesel na king kan nikaamua kuwasiliana na vijana wangu wa intelijensia na tumeweza kuleta matangazo haya live...
Baba kapata mama na mama kapata baba....
Asiyependa asafirishe SEMBE....
ukumbi ushapambwa?. mia
baba v tumeiona....hata kama wameibania kikubwa ndoa yetu ifungwe tu
Baba V umesomeka,....ila nadhani hao uliowataja wanahusika kwa namna zote na wamelegea kwa jina langu,,,,
sijambo cwt inlaw!
babe za muda huu....mbona nilikua sikupati kwa simu?
njema cwtie..
Muda gan tenaa?
umeona eeh"
nitamlamba ban mod sasa hv
kama lisaa limoja limepita....nilidataje? Lol
heheheee... Tulikuwa tunapga thtory na lady doctor,lol
mmmmmh!!!! Mume wanguu!!
Wadau leo ndo leo, mambo yanakwenda yakinyooka mahali hapa.. Ndoa ndo zimeshafungwa hivyo asubuhi ya leo na hapa tunaendelea na taratibu ndogo ndogo.. Ni figganigga na Heaven on earth , kwingine ni Myakubanga na Queen Kan..... Kulikuwa na wasiwasi kidogo kutokana na hali ya mtandao ila baada ya kusikia kuwa kulikuwa na mkono wa Vin Diesel na king kan nikaamua kuwasiliana na vijana wangu wa intelijensia na tumeweza kuleta matangazo haya live...
Baba kapata mama na mama kapata baba....
Asiyependa asafirishe SEMBE....
Moderators wanafanya kazi nzuri sana....hehehe...
Asiyependa ahame jukwaa....
. . . . Wife mpenzi, baerezee baerewe!
Heheheee... Tulikuwa tunapga thtory na Lady doctor,lol