Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Presha ipande mara ngapi....[SUP]​[/SUP]

maskiniii! Pole jamani, unatumia dawa gani kuishusha? Hadi huruma jamani daah!!!! Watu wabaya jamani hata huruma hawana,,, usijali kazi ya mola haina makosa na aliyekiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe!!!!!!!
 
kiongozi mpenda uchu wa madaraka Baba V ulisema leo ndo ndoa zinafungishwa
ni wapi tuje na ni saa ngapi vile? maana tuko nadhifu kama hivi unavyoona

sijatokelezea View attachment 115172

Best kuna watu walikuwa wanafanya fitna walipanga njama za kuwateka maharusi.... mara mtandao eti uko kwenye matengenezo....lakini mambo yamekwenda safi, kwa sasa niko hapa makirikiri pub huku Buguruni kwa Mnyamani napata japo vyupa viwili afu ndo nielekee ukumbini.
 
Last edited by a moderator:
Best kuna watu walikuwa wanafanya fitna walipanga njama za kuwateka maharusi.... mara mtandao eti uko kwenye matengenezo....lakini mambo yamekwenda safi, kwa sasa niko hapa makirikiri pub huku Buguruni kwa Mnyamani napata japo vyupa viwili afu ndo nielekee ukumbini.

hahahaaa...... Unazimua kwanza sio!
 
maskiniii! Pole jamani, unatumia dawa gani kuishusha? Hadi huruma jamani daah!!!! Watu wabaya jamani hata huruma hawana,,, usijali kazi ya mola haina makosa na aliyekiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe!!!!!!!

We nawe....faida huna....hasara huna...
 
Back
Top Bottom