Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
aaaah ila si umeolewa lakini
hahaa hizi hisia kuwa hazizuiliki ujue....
mume wangu asipite huku lol
aaaah ila si umeolewa lakini
usiku mwema pia,lala na amka salamaUciku mwema mie nalala zangu....
wii unajua hujawahi kunipa ujumbe mzito na mefu kama huu....nashukuru sana wii wangu
nafurahije kuwa na wii kama wewe.....nashukuru sana kwa dua yao njema na mie nasema
:amen::amen::amen:
cc babe figganigga

wii ndio ujue jinsi gani nakupenda wii wangu, nitunzie kaka huyo asije pata kwashakoo ya mapenzi nakupa wiki tu nikija kwenu nimkute anakitambi cha ndoa na amenawiri kimahaba la sivyo utaniita Tyson wii!!!
aaaah papara tu mpka ulimu ukateleza,btw how are you?
Lady doctor una vitishooo!
mi mzima sijui wewe
aaaaah najua wangu atajileta
joto sana heri niwe kifua wazi
sema bhana mi naishi kwa neno lako.
take me to your world.
Just take me to your world.
I'll be your volunteer and you 'll be my magician girl
!!(2xl)
mi natafuta wake za watu tu,ila acha hasira Heaven on earth anakupenda nimetupia mistari aah wapiNdoa na iheshimiwe na watu wote. Safari hii utavaa shati kama hautakua makini na mazoea kwa wake za watu. Cc. Arushaone. Mia
aaah bado nasaka,wanasema ''love set you free'' hivi kweli?
btw nataka Shuga mami wa kulea
mi natafuta wake za watu tu,ila acha hasira Heaven on earth anakupenda nimetupia mistari aah wapi
mi natafuta wake za watu tu,ila acha hasira Heaven on earth anakupenda nimetupia mistari aah wapi
but ukisema kupima kwanza wanapoteahahahahaa.... Shuga mami tena? Weka bandiko watakuja
mi natafuta wake za watu tu,ila acha hasira Heaven on earth anakupenda nimetupia mistari aah wapi
but ukisema kupima kwanza wanapotea
ila wewe si ndo mkaguzi humu?ukiona kifaa cha ukweli uwe unanipa updateshawana uhakika na afya zao si bora ukakae kule mlangoni kwa ma new comer ujichague manzi mdogomdogo