figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
mi natafuta wake za watu tu,ila acha hasira Heaven on earth anakupenda nimetupia mistari aah wapi
Sio Heaven on earth ananipenda sema tunapendana. Mia
Last edited by a moderator:
mi natafuta wake za watu tu,ila acha hasira Heaven on earth anakupenda nimetupia mistari aah wapi
ila wewe si ndo mkaguzi humu?ukiona kifaa cha ukweli uwe unanipa updates
ila wewe si ndo mkaguzi humu?ukiona kifaa cha ukweli uwe unanipa updates
sikuhizi nafanya ukaguzi kwa malipo atii!
malipo usijali we fanya kazi yakosikuhizi nafanya ukaguzi kwa malipo atii!
halafu hapo kifuani umeumia Excellent?malipo usijali we fanya kazi yako
mbona hivo inaonekana unamfahahamu ndo mana unaniunganishia,unanitakia mazuri kweli?Kuna kitu kinaitwa Dadake Asuttu,hebu jaribu kucheki nacho
nimeumia ile mbaya si unaona upande wa moyo kabisa Lady doctorhalafu hapo kifuani umeumia Excellent?
miss u too F, S ameenda church si unajua dogo mwuimba kwaya yule mie leo ndio msoma ramani home lol! halafu nilimuonesha ile kitu uliyotuma sikuile amekuchekaje???Miss u L. Mpe hi S. Mia
daah, pole sana, umemuona Dr lakini?nimeumia ile mbaya si unaona upande wa moyo kabisa Lady doctor
nimemwona kasema siwezi kutibiwa ni ugonjwa sugudaah, pole sana, umemuona Dr lakini?
mbona hivo inaonekana unamfahahamu ndo mana unaniunganishia,unanitakia mazuri kweli?
ngoja nimtafute ila awe tayari kupima na ana hela ndogo ndogoSi umesema unataka mashuga mami?
huyo daktari wako atakuwa feki aisee huo ugonjwa mbona unatibika au labda utakuwa huo ugonjwa wako umejichanganya na vile virus vyenye mapembe maana vina kiburi hata dawahavisikiinimemwona kasema siwezi kutibiwa ni ugonjwa sugu
heri hata ungenitibu tuhuyo daktari wako atakuwa feki aisee huo ugonjwa mbona unatibika au labda utakuwa huo ugonjwa wako umejichanganya na vile virus vyenye mapembe maana vina kiburi hata dawahavisikii
miss u too F, S ameenda church si unajua dogo mwuimba kwaya yule mie leo ndio msoma ramani home lol! halafu nilimuonesha ile kitu uliyotuma sikuile amekuchekaje???
mie nitaenda jioni kwenye maombi, hahahaa S mtoto wa mjini yule anajua kutumia tu hanunuliki kabisa si unajua sie watu wa Mungu kuuzika ni ngumu lol!Mbona siku ile nilituma vitu kibao? unazungumzia ipi? au unasemea yale maziwa?. Jitahidi na wewe uwe unaenda kanisani siku mojamoja lol. Mwambie S Kashauzwa tayari. Mia
tatizo umechelewa mpaka ugonjwa umeshakuwa suguheri hata ungenitibu tu