Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,372
lazima plan bhahaaa.....na sina mdogo kweli....sijui tutafanyaje
lazima plan bhahaaa.....na sina mdogo kweli....sijui tutafanyaje
lazima plan b
mmh jitihada za mhimuhapo kwenye Plan B sasa.....
mmh jitihada za mhimu
Wii we nipe wiki huyu kaka ako utamsahau.....kwetu tumefunzwa kumlea mume
au umesahau mambo ya mtoto mchanga anavyolelewa.....halafu wii hivo vitisho hivo
nitafutie basi Heaven on earth nitaridhikami si nimesema nakusaidia kutafuta mtu au wataka jitihada gani tena Excellent jamani
nitafutie basi Heaven on earth nitaridhika
good dear si unajua usiniangushe basithawa ngoja ni do ze nidful just for you
wii usiogope bana umesahau mie wifi yako fidodido ntakushikia wapi bana, nasubiri ahadi yako baada ya wiki awe amebadilika lakini ole wake aache kuja home kutusalimia mambo yakufungiana kwenye chupa sitaki la sivyo ilo teke utakalo kula utajikuta umepakatwa na mwezi chezea wifi wewe....... Kazi ndio imeanza wii usiogope!
Wii maneno yako mazito jamani....mbona wataka kunitoa chozi mwenzio....kaka ako ntamtunza saaana
yaani mi nakupenda saana tikiachilia utani wa mbele nyumaa hum chit chat yaani we ni mdada wa tofauti sana
nakukubali sana ujue....sa nyingine najitoaga ufaham weee ila kuna watu kama wewe nawaheshim sana...
hongera za pekee ziende kwa Arushaone kwa kupata kifaa cha ukwee
Sikufichi kitu mke wangu. Yalikuwa mambo ya kifamilia lakini kwa kuwa umeshakua mwanafamilia utajulishwa kila kitu mpenzi. Mia
nipo bukher wa afya kabisa. hongera sana best kwa kuuaga ukapera fungate wapi sasa?
Hivi kweli hawajaenda honey moon? manake siwaelewi. Queen Kan inaonekana jana kachoka sana. Hajaonekana kabisa. Mia
nipo bukher wa afya kabisa. hongera sana best kwa kuuaga ukapera fungate wapi sasa?
Honey moon tumekwenda,lakini raia wamepeleleza na kutufuata huku huku.
Bs wife ametingwajee
. MiaExcellent siwezi kukuangusha hata.......u can count on megood dear si unajua usiniangushe basi
Hahahaaaa....!!!. mia. Inaonekana hajabahatika kuona picha za jana. Vin Diesel hii ni moja ya picha za jana.View attachment 115446. Mia