DEMBA....kazi yangu nilishakamilisha kitambo...kitanda hakizai haramu
DEMBA
jana ilikua siku ya furaha kwetu. Mimi na heaven hadi kifo
kitutenganishe.View attachment 115449
Mia
kwa hiyo Vin Diesel unataka kuniambia figganigga ameingizwa mjini?
Arushaone usishangae, habari ndio hiyo Heaven on earth is expecting Vin Diesel'child. mjini kuna mambo!!!!!!!!. . . . . . . . . . . . . . ! ! !
Vin Diesel mambo.........mara ngapi?
DEMBA kwanini unaendelea kueneza haya maneno!!!!!!!Arushaone usishangae, habari ndio hiyo Heaven on earth is expecting Vin Diesel'child. mjini kuna mambo!!!!!!!!
Hommie naomba uwaambie hawa watoto ndoa zao sizitambui na ni batili. Wengine hata sijawakagua eti wanaolewa.
Popote ulipo Filipo, hebu come this way. İkibidi tuwakague wakiwa humohumo ndani ya ndoa zao feki.
Together We Can!!!
Heaven on earth kumbe wewe ni pacha wa supa wuman?
ulipendeza sanaaa
Nakupenda Heaven on earth wangu....hayo ndio mambo nifanyayo
mbona umenitenga lakin.........
Wewe si unanikana mbele ya kadamnasi....lazima nijitenge na watesi wangu
usifanye hivuo baba uwepo wako bado ni wa muhim sana kwangu vin
Huu uwepo robo robo mie haunibariki kabisaaaaaa....
babe usinifanyie hivyo ujue....
Arushaone usishangae, habari ndio hiyo Heaven on earth is expecting Vin Diesel'child. mjini kuna mambo!!!!!!!!
Nani kayaanzisha yote haya.....