lol! Mapenzi upofu, yani tumejisahau kabisaa.....za asubuhi best? Hajambo cwt inlaw wangu Arushaone?
abee mume wangu...ooh! Sorry..abee dia cc: Lady doctor
Hahaha..
Lol!
Umeckika sisy in law!
twende 2kaoge mke wangu mpenz
Twende 2kaoge mke wangu mpenz
mwe! Mmeshaanza kuzini kabla ya ndoa nyie watoto.....!?
abee mume wangu...ooh! Sorry..abee dia cc: Lady doctor
nzuri best angu, shemejio hajambo kabisa, kaenda mazoezi now... Uko poa wewe?
niko poa....jana nilimuagiza awe anakuandalia breakfast kutokana na hali yako kwa sasa,,, ameshaandaa?
hapana Lady doctor 2likuwa 2nachedha
mmeshaanza kale ka mchezo ka baba na mama nyie, mmepindaaa!
hahahaaa, my dia hali yangu sio mbaya sana kiasi kwamba nishindwe kuandaa breakfast, ila shughuli nyingine ananisaidia kama kawa, nampenda sana arushaone ni muelewa na anajali... Ndio nimemuwekea chai mezani nasubiri atoke mazoezi, aoge then apate breakfast ndio aende kwa job!
kombolela?
tulia na wewee
ana bahati umemtetea.....mpende hivyohivyo mpaka liamba..
Excellent mzima wewe.........sitaki kuwa alshabab jamani mwachieni heaven on dunia