figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
nipo bukher wa afya kabisa. hongera sana best kwa kuuaga ukapera fungate wapi sasa?
ho hoi hoi hoi lulu lul lulu lulu lulu kilichofungwa duniani na ............. kimefungwa. mbona Heaven on earth kama kitumbo kimetuna au ndio mambo ya ndoa kujibu kabla haijafungwa? wapi Vin Diesel ?DEMBA jana ilikua siku ya furaha kwetu. Mimi na heaven hadi kifo kitutenganishe.View attachment 115449
Mia
Hahahaaaa....!!!. mia. Inaonekana hajabahatika kuona picha za jana. Vin Diesel hii ni moja ya picha za jana.View attachment 115446. Mia
ni macho yako. miawewe figganigga mbona ulivaa hereni? au macho yangu yananidanganya!!!!!!!!!
hiyo ni style ya shela. miaho hoi hoi hoi lulu lul lulu lulu lulu kilichofungwa duniani na ............. kimefungwa. mbona Heaven on earth kama kitumbo kimetuna au ndio mambo ya ndoa kujibu kabla haijafungwa? wapi Vin Diesel ?
hiyo ni style ya shela. mia
DEMBA mi niko fit bana.....hii picha huyu mpiga picha sijui kapigajeho hoi hoi hoi lulu lul lulu lulu lulu kilichofungwa duniani na ............. kimefungwa. mbona Heaven on earth kama kitumbo kimetuna au ndio mambo ya ndoa kujibu kabla haijafungwa? wapi Vin Diesel ?
Ndiyo,nimemficha leo had kesho Heaven on earth
View attachment 115450
Hii picha ni figganigga na Heaven on earth.
Cc: Vin Diesel, Arushaone Lady doctor, @hevean on disert, Earth on heaven, Baba V na Washawasha. Mia
DEMBA....kazi yangu nilishakamilisha kitambo...kitanda hakizai haramuho hoi hoi hoi lulu lul lulu lulu lulu kilichofungwa duniani na ............. kimefungwa. mbona Heaven on earth kama kitumbo kimetuna au ndio mambo ya ndoa kujibu kabla haijafungwa? wapi Vin Diesel ?