Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

baby DEMBA nani kakufundisha majungu mapema hivi? Ni huyu Arushaone?:A S-confused1:

Hommie naomba uwaambie hawa watoto ndoa zao sizitambui na ni batili. Wengine hata sijawakagua eti wanaolewa.

Popote ulipo Filipo, hebu come this way. İkibidi tuwakague wakiwa humohumo ndani ya ndoa zao feki.

Together We Can!!!
 
Last edited by a moderator:
Hommie naomba uwaambie hawa watoto ndoa zao sizitambui na ni batili. Wengine hata sijawakagua eti wanaolewa.

Popote ulipo Filipo, hebu come this way. İkibidi tuwakague wakiwa humohumo ndani ya ndoa zao feki.

Together We Can!!!

wewe babu ulivyopotea ulitegemea nini!!!!!!!

na hapo ungesema tu target yako iko wapi....usijishaue

na tabia yako ilivypo mbaya sipokei wala sijibu msg zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…