Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Last edited by a moderator:

babe kwani nimefanyaje tena jamani!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ndugu mwenyekiti Baba V unakumbuka kuwa Heaven on earth ni afisa uliye mpa jukumu la kukulinda zidi ya mapinduzi yaliyo kuwa yana pangwa hapa?? sasa huoni kuwa katika sherehe za ndoa hiyo magaidi wanaweza kutumia fursa hiyo kukupindua??
 
niko makin katika kazi yangu...

likija swala la kazi mapenzi pemben
 
huu uzi siupendi kabisa unaonyesha napewa fake smiles
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…