Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Last edited by a moderator:
Aisee Heaven on earth naomba tujengeane heshima kidogo, sifurahishwi na hizo tabia za macho mia mia. Kumbuka wewe ni mke wangu wa ndoa so usipende kunikwaza. Mimi ndo uliniona nafaa so heshimu ndoa yetu. Usirudie tena hizi mambo za umapepe. Hii comment nmeiandika kwa hasira huku nimenuna.CC; Baba V, Lady doctor, arushaone, Slave, mathematics. Mia

babe kwani nimefanyaje tena jamani!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ndugu mwenyekiti Baba V unakumbuka kuwa Heaven on earth ni afisa uliye mpa jukumu la kukulinda zidi ya mapinduzi yaliyo kuwa yana pangwa hapa?? sasa huoni kuwa katika sherehe za ndoa hiyo magaidi wanaweza kutumia fursa hiyo kukupindua??
 
Last edited by a moderator:
huu uzi siupendi kabisa unaonyesha napewa fake smiles
 
hahahaaa...... Halafu ikisha komaa ndio akumiss?



quote_icon.png
By Slave
ndoa yako bado changa ilee kwanza ikue



[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif]yap! yap! hapo ndotwaweza kumisiana.[/FONT]
 
Back
Top Bottom