Haya haya kumekucha, China yatoa msaada wa chakula tena, Wakenya wakasirika

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Wakati Waziri wa Ugatuzi akichekelea kupokea mchele wa msaada toka China ili kuokoa maisha ya mamilioni ya wakenya walio katika hatari ya kufa kutokana na njaa kubwa inayoikumba Kenya, wananchi wengi wa Kenya wamelichukulia kama ni kitendo cha aibu kwa taifa Lao kuendeleza tabia ya kuomba na kupokea misaada ya chakula.

Kwa mujibu wa Waziri huyo ni kwamba, nusu ya nchi ya Kenya inakabiliwa na njaa hivyo kuhitaji msaada wa chakula haraka. Tangu Kenya ijipatie Uhuru wake, janga la njaa ni sehemu ya maisha ya wakenya, na wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya njaa.

Rais Uhuru Kenyatta alikiri kwamba, Kenya haina uwezo wa kujilisha hivyo kutegemea misaada ya chakula, na kwamba haki hiyo itaendelea kuikumba Kenya kwasababu idadi ya watu inazidi kuongezeka na ardhi iliyopo inazidi kupoteza uwezo wa uzalishaji chakula.
 
Tanzania ipo mbioni kupeleka msaada pia!
Tena tunaweza kuwapa chakula kingi zaidi ya hizo gunia 30,000 walizopewa na China. Kama tuliweza kupeleka malaki ya tani huko Msumbiji, Zimbabwe na Malawi, vipi tushindwe kuwapa wakenya tani laki mbili za vyakula mchanganyiko?. Tunachohitaji ni Uhuru Kenyatta kuleta ombi rasmi la kuomba msaada.
 
Ngoja niishauri serikali tufanye mabadiliko kidogo kwenye sela yetu ya kilimo ili tuitawale A. Mashariki maana mabadiliko hayo yakifanywa basi TZ itakua sawa na baba kwenye familia maana baba nyumbani akiamka tu asubuhi macho ya watu wote kwake .
 
Wakati Waziri wa Ugatuzi akichekelea kupokea mchele wa msaada toka China ili kuokoa maisha ya mamilioni ya wakenya walio katika hatari ya kufa kutokana na njaa kubwa inayoikumba Kenya, wananchi wengi wa Kenya wamelichukulia kama ni kitendo cha aibu kwa taifa Lao kuendeleza tabia ya kuomba na kupokea misaada ya chakula.

Kwa mujibu wa Waziri huyo ni kwamba, nusu ya nchi ya Kenya inakabiliwa na njaa hivyo kuhitaji msaada wa chakula haraka. Tangu Kenya ijipatie Uhuru wake, janga la njaa ni sehemu ya maisha ya wakenya, na wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya njaa.

Rais Uhuru Kenyatta alikiri kwamba, Kenya haina uwezo wa kujilisha hivyo kutegemea misaada ya chakula, na kwamba haki hiyo itaendelea kuikumba Kenya kwasababu idadi ya watu inazidi kuongezeka na ardhi iliyopo inazidi kupoteza uwezo wa uzalishaji chakula.
Swala la aridhi kupoteza nguvu ya kuzalisha( fertilization) ni kwa sababu ya conventional farming ! Kiukweli nitabaki kuwa member wa organic farming for ever
 
Si juzi tu wameuza mafuta na meli iko njiani kuelekea uingereza, kwanini hiyo hela wasinunulie chakula kwa ajili ya wananchi wao
 
Swala la aridhi kupoteza nguvu ya kuzalisha( fertilization) ni kwa sababu ya conventional farming ! Kiukweli nitabaki kuwa member wa organic farming for ever
kula like laki nane kwa kweli!
kinachosumbua ni hawa viongozi kuendelea kusisitiza matumizi ya mbolea za viwandani
 
poleni watz tunaelewa mnaumiaaa mazeeee comredi ramaphosa hajamfanyia jiwe poaaa...juzi tu amepewa madesa ya kiswahili apeleke bondenii!!
 
So these Kenyans with all the English they speak cant just feed themselves?
Ninakuomba sana ninakuomba utumie lugha ya malikia ambayo ndiye lugha pendwa kwa majirani zetu, uwaulize kuhusu ile GDP kubwa "Haitoshi kununua chakula cha kutosha kwa wakenya??"
 
Wakati Waziri wa Ugatuzi akichekelea kupokea mchele wa msaada toka China ili kuokoa maisha ya mamilioni ya wakenya walio katika hatari ya kufa kutokana na njaa kubwa inayoikumba Kenya, wananchi wengi wa Kenya wamelichukulia kama ni kitendo cha aibu kwa taifa Lao kuendeleza tabia ya kuomba na kupokea misaada ya chakula.

Kwa mujibu wa Waziri huyo ni kwamba, nusu ya nchi ya Kenya inakabiliwa na njaa hivyo kuhitaji msaada wa chakula haraka. Tangu Kenya ijipatie Uhuru wake, janga la njaa ni sehemu ya maisha ya wakenya, na wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya njaa.

Rais Uhuru Kenyatta alikiri kwamba, Kenya haina uwezo wa kujilisha hivyo kutegemea misaada ya chakula, na kwamba haki hiyo itaendelea kuikumba Kenya kwasababu idadi ya watu inazidi kuongezeka na ardhi iliyopo inazidi kupoteza uwezo wa uzalishaji chakula.
Halafu wanajifanya wanajua sana kiingereza kuliko waingereza wenyewe. Wale sasa hicho kizungu chao tuone. Upuuzi mtupu.
 
😂🤣😂😂😂wakenya bhan wanateseka saana tz uwez skia mamb hay
 
Back
Top Bottom