Are you serious!!? All the way from kenya to china for only 30km!? Ni umbali kutoka Dar kwenda kibaha. Hili ni tusi kubwa sana. Nchi yenye uchumi wa kati inashindwa only 30km!?Kama ilivyo kawaida ya rais wetu akichomoka huwa harudi mikono mitupu, anatumia nguvu nyingi sana kujiandaa jinsi ya kutumia uzoefu wake kukwapua vinono kutoka kwa hawa. Kacheza kali kwa Trump. kugeuza kashusha nyingine kutoka kwa Theresa May wa UK, wakati wino haujakauka kamfuata Mchina na kukusanya pembeni makampuni yao na kuingia ubia wa public-private partnership (PPP).
mambo haya huwa hayataki ze ze ze, unatumia muda wako kuyachunguza kwa umakini.... Hizi hapa tu baadhi, nitazidi kuleta kadiri zinavyo ongezeka...mpoo?? Mtapata tabu mnaotafuna popcorns..hehehe
30-kilometre expressway running from JKIA across the city (dah hii kali, barabara pana ya mwendo kasi tokea uwanja wa ndege)
Development of Dongo Kundu industrial Special Economic Zone in Mombasa
Two major roads in North Eastern
Completion of Western Bypass
Cooperation agreement within the Framework of the Silk Road Economic Belt and the 21st Century Maritime Silk Road Initiative
The University of Nairobi, Kenya Railways Corporation and Beijing Jiaotong University also signed a MoU in support of training railway engineers and managers for SGR operations and management
More Chinese private investors line up for public partnerships
JPM big boss anafatwa hapahapa sio wakudanga kama huyo raisi wenu kila siku kiguu na njiaNani mwengine angeenda, kidogo huyo PM wenu huwa afueni kwenye kujieleza maana dah, at least mumefaulu kupata dili ya kuvua samaki.
In fact 30km must be less than $100m ila kwakua kuna Uhuruto itafika $500m.Bagamoyo PPP = $10bn na waTz wasumbui, Uhuru anapata PPP ya less than $500mn na JF Hakukaliki
umejibiwa hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe uvuvi....watu wanatia saini makubwa nyie mnahangaika na uvuvi.....oyaaaa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] 30 kilometer road is less than 25 Tanzanian billion this is another disgrace and insult to the president, how on earth your president lamenting that powerful to the Chinese president and shuttered with only 25 [emoji1241] billion project?
Kule Marekani alitolewa mkuku kwa msaada wa chakula, kwa may hakuna chochote mlichoambulia zaidi ya May kucheza singeli Harambee house
Huko kwa Xi ndio mmepasha viti joto ukumbini for all those days na all that population you recruited matokeo yake mmetolewa nduki na vijibilioni ushuzi na scholarships ambazo tayari mlishaahidiwa tokea 2015 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo express way ni mradi wa siku nyingi sana na tayari [emoji630] ilishasema itawapa huo msaada so in short there's absolutely nothing new
π π π hatoweza kureact sababu ni msumari wa motoumejibiwa hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]
kwanza hatuwezi kufanana kwenye priorities.
uhuru anadanga kama makahaba wa nairobi. [emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] hatoweza kureact sababu ni msumari wa moto
Uhuru amekuwa ni Rais wa kudanga kwenye vijicent vya kipumbavu mpaka anakua hana tofauti na sonko
mi mwenyewe nimejikuta nacheka...[emoji23] [emoji23]Are you serious!!? All the way from kenya to china for only 30km!? Ni umbali kutoka Dar kwenda kibaha. Hili ni tusi kubwa sana. Nchi yenye uchumi wa kati inashindwa only 30km!?
ndio maana nikakusihi uache kukurupuka. aibu yako.Wamepata dili ya kuvua samaki, bora imefuta aibu ya kutoka kapa.
ππππ slay πuhuru anadanga kama makahaba wa nairobi. [emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] 30 kilometer road is less than 25 Tanzanian billion this is another disgrace and insult to the president, how on earth your president lamenting that powerful to the Chinese president and shuttered with only 25 [emoji1241] billion project?
Kule Marekani alitolewa mkuku kwa msaada wa chakula, kwa may hakuna chochote mlichoambulia zaidi ya May kucheza singeli Harambee house
Huko kwa Xi ndio mmepasha viti joto ukumbini for all those days na all that population you recruited matokeo yake mmetolewa nduki na vijibilioni ushuzi na scholarships ambazo tayari mlishaahidiwa tokea 2015 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo express way ni mradi wa siku nyingi sana na tayari [emoji630] ilishasema itawapa huo msaada so in short there's absolutely nothing new
Sie bado tunafuatilia trilioni 600 za makinikia, tukilipwa tutafungua viwanda vya kutengeneza helikopta na dreamliner
Express way!!!Are you serious!!? All the way from kenya to china for only 30km!? Ni umbali kutoka Dar kwenda kibaha. Hili ni tusi kubwa sana. Nchi yenye uchumi wa kati inashindwa only 30km!?