kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
tanzania ya uvuviiiii hoyeeeeeeeee!!!
yep yep...mambo ni kama hivi.deep sea fishing.
btw nasikia kikuyu mpo allergic na samaki. [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tanzania ya uvuviiiii hoyeeeeeeeee!!!
Kumbe mnakimbilia tu ili muonekane mpoo......yaleyale ya sgrExpress way!!!
Tanzania mzima kuna kitu ka hiyo?
Alafu wanajitia hamnazo eti wameona tu hiyo expressway ya kutoka JKIA. Hapo kwa Dongo Kundu Industial Zone na kadhalika watasema ni lugha gongana. Dah wenye macho leo wanaambiwa tazama![emoji1][emoji1][emoji1]Wamepata dili ya kuvua samaki, bora imefuta aibu ya kutoka kapa.
acha tuweke records sawa maana huyu mkikuyu ni mkurupukaji sana.
huwa hajishughulishi kufanya uchunguzi kwanza.yaani akisikia tu uhuru kenyata, basi immediately anashikwa na mfadhaiko.mahaba yake kwa uhuru kenyatta sio ya kawaida. [emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 857269View attachment 857271View attachment 857272View attachment 857273View attachment 857274
All the PPPs Uhuru has singed are $500mn-700mn Bagamoyo Alone is $10bn JPM never even bothered to travel to ChinaAlafu wanajitia hamnazo eti wameona tu hiyo expressway ya kutoka JKIA. Hapo kwa Dongo Kundu Industial Zone na kadhalika watasema ni lugha gongana. Dah wenye macho leo wanaambiwa tazama![emoji1][emoji1][emoji1]
Acha wapige tu keleleAll the PPPs Uhuru has singed are $500mn-700mn Bagamoyo Alone is $10bn JPM never even bothered to travel to China
ulivyo mshamba na mjinga uliposikia tu expressway ukadhani ni kama njia ya kwenda mbinguni.Express way!!!
Tanzania mzima kuna kitu ka hiyo?
Lmao... [emoji23] [emoji23] [emoji23]All the PPPs Uhuru has singed are $500mn-700mn Bagamoyo Alone is $10bn JPM never even bothered to travel to China
sawa dongo KUNDU, tumekusikia. [emoji23][emoji23]Alafu wanajitia hamnazo eti wameona tu hiyo expressway ya kutoka JKIA. Hapo kwa Dongo Kundu Industial Zone na kadhalika watasema ni lugha gongana. Dah wenye macho leo wanaambiwa tazama![emoji1][emoji1][emoji1]
Buda unawajua wachina ama unawasikia tu.Kama ilivyo kawaida ya rais wetu akichomoka huwa harudi mikono mitupu, anatumia nguvu nyingi sana kujiandaa jinsi ya kutumia uzoefu wake kukwapua vinono kutoka kwa hawa. Kacheza kali kwa Trump. kugeuza kashusha nyingine kutoka kwa Theresa May wa UK, wakati wino haujakauka kamfuata Mchina na kukusanya pembeni makampuni yao na kuingia ubia wa public-private partnership (PPP).
mambo haya huwa hayataki ze ze ze, unatumia muda wako kuyachunguza kwa umakini.... Hizi hapa tu baadhi, nitazidi kuleta kadiri zinavyo ongezeka...mpoo?? Mtapata tabu mnaotafuna popcorns..hehehe
30-kilometre expressway running from JKIA across the city (dah hii kali, barabara pana ya mwendo kasi tokea uwanja wa ndege)
Development of Dongo Kundu industrial Special Economic Zone in Mombasa
Two major roads in North Eastern
Completion of Western Bypass
Cooperation agreement within the Framework of the Silk Road Economic Belt and the 21st Century Maritime Silk Road Initiative
The University of Nairobi, Kenya Railways Corporation and Beijing Jiaotong University also signed a MoU in support of training railway engineers and managers for SGR operations and management
More Chinese private investors line up for public partnerships
Jamaa wabishi sana hawa. Hiyo ni hapa Nairobi tu. Highway mbili kule kaskazini mashariki. Ushirikiano kwenye mafunzo ya masuala ya usafiri wa reli kati ya chuo kikuu cha Nairobi na serikali ya China. Special economic zone ya viwanda Dongo Kundu MSA. U.K hakuenda kuuza sura bana.Ama mnadhani ni ordinary roads
Ikiwa highway kama thika kitu ya 30Billion nchi mzima hamna hii ndio mtaweza!
Hizi akili zako sio za mtu ambaye amekuwa member wa Jf kwa miaka 15.sawa dongo KUNDU, tumekusikia. [emoji23][emoji23]
Huyo wa kudanga hana jipya acha wampapase kwanza hadi akirudi kenya atakua na kapwelepweta kama ndala za bataJamaa wabishi sana hawa. Hiyo ni hapa Nairobi tu. Highway mbili kule kaskazini mashariki. Ushirikiano kwenye mafunzo ya masuala ya usafiri wa reli kati ya chuo kikuu cha Nairobi na serikali ya China. Special economic zone ya viwanda Dongo Kundu MSA. U.K hakuenda kuuza sura bana.
Effort Not worth the Results,Waste of time..$500mn is so small that JPM gets Such money absolutley free from Arabs to build Dodoma infrastructure Just from the work of his foreign affairs minister not himselfJamaa wabishi sana hawa. Hiyo ni hapa Nairobi tu. Highway mbili kule kaskazini mashariki. Ushirikiano kwenye mafunzo ya masuala ya usafiri wa reli kati ya chuo kikuu cha Nairobi na serikali ya China. Special economic zone ya viwanda Dongo Kundu MSA. U.K hakuenda kuuza sura bana.
Dah kwa kweli hawa watu wanatia huruma just imagine saivi Tanzania Jumla ya kilometers za lami under construction 🚧 ni zaidi ya 10,000 kilometers CountrywideHa aaaaaaaah,si vyema kumpinga mtu anayeongea ukweli wa mambo.
Ameongea ukweli wa kile uhuru ameenda kufanya huko.kuomba msaada wa ujenzi wa barabara 30km🤭🤭[emoji848][emoji36],hawa watu tuko tunabishana masaa 24 humu kweli.yafaa tuwaonee huruma.
Shukran kwa kuwakilisha kiswahili cha kariakor.Huyo wa kudanga hana jipya acha wampapase kwanza hadi akirudi kenya atakua na kapwelepweta kama ndala za bata