Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Jamaa wabishi sana hawa. Hiyo ni hapa Nairobi tu. Highway mbili kule kaskazini mashariki. Ushirikiano kwenye mafunzo ya masuala ya usafiri wa reli kati ya chuo kikuu cha Nairobi na serikali ya China. Special economic zone ya viwanda Dongo Kundu MSA. U.K hakuenda kuuza sura bana.
Mafunzo ya reli!!! [emoji2] Yani ule mkataba wa SGR mlio nyooshwa hamkua ainisha mambo ya msingi kama haya! Mpaka muende China kulia lia, Ndiyo maana so far no Kenyan knows how to ride hizo gari moshi. Sasa hivi kuna vijana kutoka Tz wapo China, Ethiopia, Turkey, Morroco na Korea wana jifunza kuhusu SGR.
Magu achieves so much more akiwa ofisini kwake than Uhuru and his team of con artist ambao wako kwenye world tour.
Screenshot_2018-09-05-10-50-05.jpg
Screenshot_2018-09-05-10-50-18.jpg
 
Dah...hawa shemeji zetu bomba la m7 linawauma sana....sisi sote ni ndugu...😎
 
Bagamoyo nimeisikia tangu 2015 but hadi sasa ni sakata tu...usilete hekaya hapa
China Had insisted to Give Tz a loan similar to KE SGR, JPM fought them off and almost suspended the whole project..Thats when they coiled their tails between their legs and offered a $10bn PPP.
 
You think this is a road in the middle of nowhere.
That 30km stretch will cost more than any road you've ever built in the whole of bongolala.
It is right in the middle of the capital city, with a likelihood of many buildings or skyscrapers being demolished.
Tanzania we are building the same project with six lanes and flyover on top 🔝, KIMARA to KIBAHA, sum of 2050 houses 🏘 have been demolished to paving for the project tena ni kwa pesa zetu wenyewe no loans but we're quite like nothing happening
 
Mafunzo ya reli!!! [emoji2] Yani ule mkataba wa SGR mlio nyooshwa hamkua ainisha mambo ya msingi kama haya! Mpaka muende China kulia lia, Ndiyo maana so far no Kenyan knows how to ride hizo gari moshi. Sasa hivi kuna vijana kutoka Tz wapo China, Ethiopia, Turkey, Morroco na Korea wana jifunza kuhusu SGR.
Magu achieves so much more akiwa ofisini kwake than Uhuru and his team of con artist ambao wako kwenye world tour.View attachment 857545View attachment 857546
Nini kipya hapo ndugu yangu vijana wa Kenya walienda kujifunza hayo yote kabla hata ya SGR kuanza kujengwa.
 
👏👏👏👏🙌 anafikiri ni fishing business kama ile inayoendelea kule kijijini kwao siaya, hajui kama Tanzania tayari imenunua Meli kubwa 🛳 tano kubwa za uvuvi wa bahari kuu, these Chinese are coming to build massive factory 🏭 ambayo itakuwa inaprocess minofu ya Samaki na kuuza domestic and international markets

Our agreements with China 🇨🇳 are about business oriented deals sio wao mpaka karne hii wanaomba msaada wa kilometer 30
 
Nini kipya hapo ndugu yangu vijana wa Kenya walienda kujifunza hayo yote kabla hata ya SGR kuanza kujengwa.
Baada ya kujifunza wamerudi wamepewa mifagio wasafishe vyoo, waki waachia wachina kazi. Jipya ni hilo la Uhuru kwenda China ku sign deal la kusaidiwa ushirikiano wa mafunzo ya SGR na Uni ya Nairobi wakati Magu ana sign ofisini kwake tena ni last year.
 
Tanzania we are building the same project with six lanes and flyover on top 🔝, KIMARA to KIBAHA, sum of 2050 houses 🏘 have been demolished to paving for the project tena ni kwa pesa zetu wenyewe no loans but we're quite like nothing happening

No loans my foot.
At any one time Kenya is building 5 times the km of roads you are.

This 30km stretch will have like 3 of your 'Ubungo' interchanges.
 
No loans my foot.
At any one time Kenya is building 5 times the km of roads you are.

This 30km stretch will have like 3 of your 'Ubungo' interchanges.
Stop talking to me about tarmac roads please, are you mad 😡?

Hey come on little pauper, this thing JPM executes on his way home on daily basis sio big deal Tanzania anymore sisi kwa sasa barabara za lami are nothing special, our whole regions are connected by tarmac roads now they are finalizing connecting the entire districts with tarmac roads, mind you, Tanzania 🇹🇿 is twice as bigger as your tinny three feet hell hole 🕳

Look here JPM is giveaway 15 kilometers of tarmac road to the citizens just after being stopped on his way by excited citizens wanted to say Hi to the president

And after three weeks of mobilization the construction 🚧 shall begin to those surprised 15 kilometers of tarmac road
 
Baada ya kujifunza wamerudi wamepewa mifagio wasafishe vyoo, waki waachia wachina kazi. Jipya ni hilo la Uhuru kwenda China ku sign deal la kusaidiwa ushirikiano wa mafunzo ya SGR na Uni ya Nairobi wakati Magu ana sign ofisini kwake tena ni last year.
Uwe unasoma taarifa kwanza. Ushirikiano ni kati ya Jiangtong University, University of Nairobi na Kenya Railways ku'train' engineers sio kujenga chuo kikuu kipya.
 
China Had insisted to Give Tz a loan similar to KE SGR, JPM fought them off and almost suspended the whole project..Thats when they coiled their tails between their legs and offered a $10bn PPP.

Ahaaa haaa haaa
Again in another $60 bn which Chinese President Xi Ping set in financing Afrika, $ 10 bn will be sunk at Tanzanias Bagamoyo port.

Ona jinsi JPM anavyopiga dili remotely na zina tick ile mbaya.
 
Very petty!! Inshort Uhuru anawa cost na safari zake nyinyi endeleeni kukenua huku mna madeni yana wasubiri.
Very petty eeh? Marais wa S.A, Zim na nchi zingine nyingi walikuwa China. Nyinyi ambao hamna madeni ndio mlimtuma sijui nani akaje na dili la uvuvi? Endelea kuponda.
 
Very petty eeh? Marais wa S.A, Zim na nchi zingine nyingi walikuwa China. Nyinyi ambao hamna madeni ndio mlimtuma sijui nani akaje na dili la uvuvi? Endelea kuponda.
Uhuru amezidi.. tofauti na hao wengine. Ngoja akirudi Nai haito pita week utasikia anaenda Malaysia akionganisha na Jamaica. Hilo deal la uvuvi ni kubwa sana na mpango wake ni wamuda sana. Magu alisha liongelea hili mara kibao, huu mwaka hauto isha utaona matunda yake.
 
Back
Top Bottom