Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hii ni moja ya mafanikio ya kilimo tanzania.najua kwa sasa mmesahau ila acha niwakumbushe ili muwe mnaitumia kama reference ile miezi ambayo sembe huwa inaadimika hapo kenya.kilimo na uvuvi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namuuliza ananijibu GDP ya nairobi ni kubwa kuliko ya TZ.sasa sijui imeshindwaje kufund huo ujenzi!!!!!
mbona unatumia nguvu kubwa sana kutu convince?....[emoji23] [emoji23]Hivi wewe Nairobi umewahi kuifika au unaiskiaga kaka, unafikiria kuchimba expressway 30km ndani ya huo mji kutokea JKIA mpaka kati ni kama unayechimba mikoani. Kwanza hapo itabidi barabara ya juu, gharama ambayo ni 500KM za TZ
Inabidi kitu kama hiki hapa chini, sio dili kama lenu hilo la kusubiri Mchina awasaidie kuvua dagaa
![]()
Sasa mbona bado zinaendeshwa ma wachinaNini kipya hapo ndugu yangu vijana wa Kenya walienda kujifunza hayo yote kabla hata ya SGR kuanza kujengwa.
Enough to build a 500km road in your LDC.
hizo deal za uvuvi huwa tunasign kila uchao...yaani siamini mtu mzima ananakuja kujigamba ajivunia dili ya uvuvi![]()
![]()
hizo nakwambia tumepiga saini mara mia moja...sioni cha maana hapoHalafu mkimaliza mnanunua samaki china tena.
hakuna chochote cha maana hapo...uvuvi na kilimo duh!!na hii ni moja ya mafanikio ya kilimo tanzania.najua kwa sasa mmesahau ila acha niwakumbushe ili muwe mnaitumia kama reference ile miezi ambayo sembe huwa inaadimika hapo kenya.
[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 857849
hizo nakwambia tumepiga saini mara mia moja...sioni cha maana hapo
We buy..but we donate to LDCsna hii ni moja ya mafanikio ya kilimo tanzania.najua kwa sasa mmesahau ila acha niwakumbushe ili muwe mnaitumia kama reference ile miezi ambayo sembe huwa inaadimika hapo kenya.
[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 857849
sawa kaka...ila mi nakwambia uvuvi hata somalia wameshapiga mara mingiNi kawaida yenu,hata SGR mlianza.tukajifuna ktk makosa yenu.
Wabongo tuache kelele za kujifariji baada ya kutoka empty hiyo ishu ya bagamoyo toka enzi ya Jk hakuna kinachofanyika si bora wakenya wana cha kuonyeshaAll the PPPs Uhuru has singed are $500mn-700mn Bagamoyo Alone is $10bn JPM never even bothered to travel to China
Wabongo tuache kelele za kujifariji baada ya kutoka empty hiyo ishu ya bagamoyo toka enzi ya Jk hakuna kinachofanyika si bora wakenya wana cha kuonyesha
Tzn sio kwamba hawataki kukopa ni vile haikopesheki mara kadhaa Mpango anazurura huko kwa wazungu lakini wapi,bila kukopa hakuna miundombinu yeyote ya maana itajengwa kujifariji kutatuumbua tuKujifariji kivipi ukimaanisha!!!kwani kukopa ni sifa ya kujipiga kifua mzee!!!!.
Kama unaona tumekuja kukufariji humu sawa.
Tzn sio kwamba hawataki kukopa ni vile haikopesheki mara kadhaa Mpango anazurura huko kwa wazungu lakini wapi,bila kukopa hakuna miundombinu yeyote ya maana itajengwa kujifariji kutatuumbua tu
Enough to build a 500km road in your LDC.