Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Kama ilivyo kawaida ya rais wetu akichomoka huwa harudi mikono mitupu, anatumia nguvu nyingi sana kujiandaa jinsi ya kutumia uzoefu wake kukwapua vinono kutoka kwa hawa. Kacheza kali kwa Trump. kugeuza kashusha nyingine kutoka kwa Theresa May wa UK, wakati wino haujakauka kamfuata Mchina na kukusanya pembeni makampuni yao na kuingia ubia wa public-private partnership (PPP).

mambo haya huwa hayataki ze ze ze, unatumia muda wako kuyachunguza kwa umakini.... Hizi hapa tu baadhi, nitazidi kuleta kadiri zinavyo ongezeka...mpoo?? Mtapata tabu mnaotafuna popcorns..hehehe

30-kilometre expressway running from JKIA across the city (dah hii kali, barabara pana ya mwendo kasi tokea uwanja wa ndege)
Development of Dongo Kundu industrial Special Economic Zone in Mombasa
Two major roads in North Eastern
Completion of Western Bypass
Cooperation agreement within the Framework of the Silk Road Economic Belt and the 21st Century Maritime Silk Road Initiative
The University of Nairobi, Kenya Railways Corporation and Beijing Jiaotong University also signed a MoU in support of training railway engineers and managers for SGR operations and management

More Chinese private investors line up for public partnerships
Are you serious!!? All the way from kenya to china for only 30km!? Ni umbali kutoka Dar kwenda kibaha. Hili ni tusi kubwa sana. Nchi yenye uchumi wa kati inashindwa only 30km!?
 
Mod One JF system needs some checking, kept on returning failure message when positing, only to realize it was actually posting and I ended up with multiple duplicated threads.
I had same problem yesterday night.
 
Hahahaa na hapo sisi kaenda waziri mkuu tu

Nani mwengine angeenda, kidogo huyo PM wenu huwa afueni kwenye kujieleza maana dah, at least mumefaulu kupata dili ya kuvua samaki.
 
Nani mwengine angeenda, kidogo huyo PM wenu huwa afueni kwenye kujieleza maana dah, at least mumefaulu kupata dili ya kuvua samaki.
JPM big boss anafatwa hapahapa sio wakudanga kama huyo raisi wenu kila siku kiguu na njia
 
Hehehe uvuvi....watu wanatia saini makubwa nyie mnahangaika na uvuvi.....oyaaaa
umejibiwa hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]
kwanza hatuwezi kufanana kwenye priorities.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] 30 kilometer road is less than 25 Tanzanian billion this is another disgrace and insult to the president, how on earth your president lamenting that powerful to the Chinese president and shuttered with only 25 [emoji1241] billion project?

Kule Marekani alitolewa mkuku kwa msaada wa chakula, kwa may hakuna chochote mlichoambulia zaidi ya May kucheza singeli Harambee house

Huko kwa Xi ndio mmepasha viti joto ukumbini for all those days na all that population you recruited matokeo yake mmetolewa nduki na vijibilioni ushuzi na scholarships ambazo tayari mlishaahidiwa tokea 2015 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hiyo express way ni mradi wa siku nyingi sana na tayari [emoji630] ilishasema itawapa huo msaada so in short there's absolutely nothing new
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] hatoweza kureact sababu ni msumari wa moto

Uhuru amekuwa ni Rais wa kudanga kwenye vijicent vya kipumbavu mpaka anakua hana tofauti na sonko
uhuru anadanga kama makahaba wa nairobi. [emoji23]
 
Are you serious!!? All the way from kenya to china for only 30km!? Ni umbali kutoka Dar kwenda kibaha. Hili ni tusi kubwa sana. Nchi yenye uchumi wa kati inashindwa only 30km!?
mi mwenyewe nimejikuta nacheka...[emoji23] [emoji23]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] 30 kilometer road is less than 25 Tanzanian billion this is another disgrace and insult to the president, how on earth your president lamenting that powerful to the Chinese president and shuttered with only 25 [emoji1241] billion project?

Kule Marekani alitolewa mkuku kwa msaada wa chakula, kwa may hakuna chochote mlichoambulia zaidi ya May kucheza singeli Harambee house

Huko kwa Xi ndio mmepasha viti joto ukumbini for all those days na all that population you recruited matokeo yake mmetolewa nduki na vijibilioni ushuzi na scholarships ambazo tayari mlishaahidiwa tokea 2015 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hiyo express way ni mradi wa siku nyingi sana na tayari [emoji630] ilishasema itawapa huo msaada so in short there's absolutely nothing new

Ha aaaaaaaah,si vyema kumpinga mtu anayeongea ukweli wa mambo.

Ameongea ukweli wa kile uhuru ameenda kufanya huko.kuomba msaada wa ujenzi wa barabara 30km🤭🤭[emoji848][emoji36],hawa watu tuko tunabishana masaa 24 humu kweli.yafaa tuwaonee huruma.
 
Na nyinyi mtawapa nini mkuu? Maana ukitaka kula vya watu lazima na wewe uliwe.
 
Are you serious!!? All the way from kenya to china for only 30km!? Ni umbali kutoka Dar kwenda kibaha. Hili ni tusi kubwa sana. Nchi yenye uchumi wa kati inashindwa only 30km!?
Express way!!!
Tanzania mzima kuna kitu ka hiyo?
 
sas mlitaka majaliwa asaini nini? zaidi ya uvuvi na simu fake za huawei
 
Back
Top Bottom