Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Ama mnadhani ni ordinary roads
Ikiwa highway kama thika kitu ya 30Billion nchi mzima hamna hii ndio mtaweza!
 
Wamepata dili ya kuvua samaki, bora imefuta aibu ya kutoka kapa.
Alafu wanajitia hamnazo eti wameona tu hiyo expressway ya kutoka JKIA. Hapo kwa Dongo Kundu Industial Zone na kadhalika watasema ni lugha gongana. Dah wenye macho leo wanaambiwa tazama![emoji1][emoji1][emoji1]
 
All the PPPs Uhuru has singed are $500mn-700mn Bagamoyo Alone is $10bn JPM never even bothered to travel to China
 
Tanzania tutapata tabu sana aiseee.Huyu wa kwetu hapa amesema anataka anyooshe nchi kwanza eti
 
Alafu wanajitia hamnazo eti wameona tu hiyo expressway ya kutoka JKIA. Hapo kwa Dongo Kundu Industial Zone na kadhalika watasema ni lugha gongana. Dah wenye macho leo wanaambiwa tazama![emoji1][emoji1][emoji1]
sawa dongo KUNDU, tumekusikia. [emoji23][emoji23]
 
Buda unawajua wachina ama unawasikia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama mnadhani ni ordinary roads
Ikiwa highway kama thika kitu ya 30Billion nchi mzima hamna hii ndio mtaweza!
Jamaa wabishi sana hawa. Hiyo ni hapa Nairobi tu. Highway mbili kule kaskazini mashariki. Ushirikiano kwenye mafunzo ya masuala ya usafiri wa reli kati ya chuo kikuu cha Nairobi na serikali ya China. Special economic zone ya viwanda Dongo Kundu MSA. U.K hakuenda kuuza sura bana.
 
Huyo wa kudanga hana jipya acha wampapase kwanza hadi akirudi kenya atakua na kapwelepweta kama ndala za bata
 
Effort Not worth the Results,Waste of time..$500mn is so small that JPM gets Such money absolutley free from Arabs to build Dodoma infrastructure Just from the work of his foreign affairs minister not himself
 
Dah kwa kweli hawa watu wanatia huruma just imagine saivi Tanzania Jumla ya kilometers za lami under construction 🚧 ni zaidi ya 10,000 kilometers Countrywide

Lakini Rais Mzima anasign deal 🤝 la kilometers 30 kwa mbwembwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…