Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Sawa basi, dili la uvuvi ndio la maana zaidi ya mikataba yeyote ingine. Jiwe ze genius.
 
30 kilometers... [emoji23] [emoji23]

Yeah 30 km katikati mwa jiji tokea JKIA tena Expressway, hakuna tena kuhangaika na Mombasa road, yaani sasa ndio JKIA itakua kitovu kabisa cha Afrika. Ni nchi chache sana zenye expressway ya kutokea moja kwa moja uwanja wa ndege hadi katikati ya mji. Yaani mimi hata wangetupa hiyo moja tu ningeshukuru sana, ila Uhuru hakuchoka, kakamua na mengine mengi.

Nyie subirini Wachina wakawasaidie kuvua samaki....aisei mnatia aibu hehehehe ingekua kwa wazungu tungesema kingereza kimewachanganya kama ilivy zile ze ze ze zenu, ila sasa kwa Mchina sijui tutasema nini maana yule huwaacha hata mzungumze lugha yenu atafsiriwe, au watafsiri wenu muwafute kazi.
 

30km bro serios!!!!
 
kwa porojo tu nimekuvulia kofia.[emoji23]

Hivi wewe Nairobi umewahi kuifika au unaiskiaga kaka, unafikiria kuchimba expressway 30km ndani ya huo mji kutokea JKIA mpaka kati ni kama unayechimba mikoani. Kwanza hapo itabidi barabara ya juu, gharama ambayo ni 500KM za TZ
Inabidi kitu kama hiki hapa chini, sio dili kama lenu hilo la kusubiri Mchina awasaidie kuvua dagaa

 
Yeah damn serious, 30km ndani ya Nairobi is as good as 500km in Tanzania, ama umesahau GDP ya Nairobi ni same as GDP ya Tanzania yote.

[emoji2][emoji2][emoji2]how GDP applies here!!!!!!ulevi ni haram

If so kwanini imeshindwa kufadhiri huo mradi wa barabara ya kitongoji tu, mpaka mkaombe????
 
Yeah damn serious, 30km ndani ya Nairobi is as good as 500km in Tanzania, ama umesahau GDP ya Nairobi ni same as GDP ya Tanzania yote.

Ahaaa haaa haaa
Mpaka mbavu zinauma SASA, MAANA nimecheka SANA.
30km imagine is a great deal MPAKA povu. Yaani safari ya masaa 20 non stop, you come up with only 30km. Rais wenu akapimwe akili.
Ona sasa JPM katuma wawakilishi tu, $10 bn out of $ 60bn zitakuja TANZANIA.
Teh teh teh tihiii.

Haya ona sasa jinsi FDI toka China zinavyotufuata kimya kimya.
China's investment in Africa
 

That costs how much???
 

Namuuliza ananijibu GDP ya nairobi ni kubwa kuliko ya TZ.sasa sijui imeshindwaje kufund huo ujenzi!!!!!
 

Ahaaa haaa haaa
Hii tumeiona, tunataka nyingine.
 
hizo deal za uvuvi huwa tunasign kila uchao...yaani siamini mtu mzima ananakuja kujigamba ajivunia dili ya uvuvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…