Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

kilimo na uvuvi
na hii ni moja ya mafanikio ya kilimo tanzania.najua kwa sasa mmesahau ila acha niwakumbushe ili muwe mnaitumia kama reference ile miezi ambayo sembe huwa inaadimika hapo kenya.
[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
mbona unatumia nguvu kubwa sana kutu convince?....[emoji23] [emoji23]
 
hakuna chochote cha maana hapo...uvuvi na kilimo duh!! ndio maana rais hakushugulika kuoanda ndege aisee
 
waambie hio highway itacost 500 million dola za marekani na itakuwa na BRT lanes...pengine hawajui
 
Ni kawaida yenu,hata SGR mlianza.tukajifuna ktk makosa yenu.
sawa kaka...ila mi nakwambia uvuvi hata somalia wameshapiga mara mingi
tumepiga na seychelles, somali, japan, china , UK, india na kadhalika...narudia hakuna chochote cha maana hapo
 
Wabongo tuache kelele za kujifariji baada ya kutoka empty hiyo ishu ya bagamoyo toka enzi ya Jk hakuna kinachofanyika si bora wakenya wana cha kuonyesha

Kujifariji kivipi ukimaanisha!!!kwani kukopa ni sifa ya kujipiga kifua mzee!!!!.

Kama unaona tumekuja kukufariji humu sawa.
 
Kujifariji kivipi ukimaanisha!!!kwani kukopa ni sifa ya kujipiga kifua mzee!!!!.

Kama unaona tumekuja kukufariji humu sawa.
Tzn sio kwamba hawataki kukopa ni vile haikopesheki mara kadhaa Mpango anazurura huko kwa wazungu lakini wapi,bila kukopa hakuna miundombinu yeyote ya maana itajengwa kujifariji kutatuumbua tu
 
Tzn sio kwamba hawataki kukopa ni vile haikopesheki mara kadhaa Mpango anazurura huko kwa wazungu lakini wapi,bila kukopa hakuna miundombinu yeyote ya maana itajengwa kujifariji kutatuumbua tu

Nani alikwambia kuna nchi isiyokopesheka duniani!!!!
 
Enough to build a 500km road in your LDC.

Ahaaa haaa haaa
You are known for inflating and over stating the project costs.

Teh teh teh tihiii
You are happy coz you know that the money will start to come in your pockets.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…