ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nimecheka eti "that road stretch will cost more than any road you have ever built in the whole of bongolala" How much will it cost?You think this is a road in the middle of nowhere.
That 30km stretch will cost more than any road you've ever built in the whole of bongolala.
It is right in the middle of the capital city, with a likelihood of many buildings or skyscrapers being demolished.
Probably bongo kutokana na kwamba ipo kwenye HIPC coz kama inakopesheka mbona Magu alikuwa anaombeleza tumikopo kwa kila mgeni na sijui kama reli itafika Dom mwakani au vipande vilivyosalia vitapata pesaNani alikwambia kuna nchi isiyokopesheka duniani!!!!
Hivi vibaraka vifuta m.a.v.i ya watu weupe kwa kukurupuka wanasikitsha walahi!View attachment 857885
Probably bongo kutokana na kwamba ipo kwenye HIPC coz kama inakopesheka mbona Magu alikuwa anaombeleza tumikopo kwa kila mgeni na sijui kama reli itafika Dom mwakani au vipande vilivyosalia vitapata pesa
Ulitarajia JPM atie sahihi mkataba mbovu wa Bagamoyo kama ule wa kenya SGR? Siku za Tz kuliwa na wawekezaji zimekwishaWabongo tuache kelele za kujifariji baada ya kutoka empty hiyo ishu ya bagamoyo toka enzi ya Jk hakuna kinachofanyika si bora wakenya wana cha kuonyesha
Acha porojo. Hata safari ya kwanza kabisa treni liliendeshwa na mkenya, tena vijana wa kike very young.Sasa mbona bado zinaendeshwa ma wachina
We buy..but we donate to LDCs
Nini kimebadilika saizi baada ya kutiwa saini?Ulitarajia JPM atie sahihi mkataba mbovu wa Bagamoyo kama ule wa kenya SGR? Siku za Tz kuliwa na wawekezaji zimekwisha
Ok makinikia imeishia wapiImekuwa probably tena!!!!
Wewe hujui unachokiongea,kinachotafutwa sio mkopo ilimradi mkopo,bali ule wenye masharti nafuu.angalia majirani kilichotokea kwenye sgr yao,baada ya ujenzi wachina wanaendesha wao sgr.
So haya mambo sio unajiendea tu,watu wanaweka pesa zaowakitegemea zirudi,masharti yakiwa magumu sana na ukakubali tu,utauza nchi.
Ok makinikia imeishia wapi
Unataka cha dongo kundu wewe maulidimaulidiShukran kwa kuwakilisha kiswahili cha kariakor.
Aibu saana huyu mke wa Kenyata katokea kama mpika chai wa white house kujikomba kubaya saanaHivi vibaraka vifuta m.a.v.i ya watu weupe kwa kukurupuka wanasikitsha walahi!View attachment 857885
Yani ka red carpet ka mr and mrs mwenye nchi ila walamba viatu wote wa 2 wametupiwa pembeni huko teh teh matusi hayaHivi vibaraka vifuta m.a.v.i ya watu weupe kwa kukurupuka wanasikitsha walahi!View attachment 857885
Mkuu hapa walioinama mkulu wa nchi yenu ni yupi akiucheza mchezo na wachina?Kama ilivyo kawaida ya rais wetu akichomoka huwa harudi mikono mitupu, anatumia nguvu nyingi sana kujiandaa jinsi ya kutumia uzoefu wake kukwapua vinono kutoka kwa hawa. Kacheza kali kwa Trump. kugeuza kashusha nyingine kutoka kwa Theresa May wa UK, wakati wino haujakauka kamfuata Mchina na kukusanya pembeni makampuni yao na kuingia ubia wa public-private partnership (PPP).
mambo haya huwa hayataki ze ze ze, unatumia muda wako kuyachunguza kwa umakini.... Hizi hapa tu baadhi, nitazidi kuleta kadiri zinavyo ongezeka...mpoo?? Mtapata tabu mnaotafuna popcorns..hehehe
30-kilometre expressway running from JKIA across the city (dah hii kali, barabara pana ya mwendo kasi tokea uwanja wa ndege)
Development of Dongo Kundu industrial Special Economic Zone in Mombasa
Two major roads in North Eastern
Completion of Western Bypass
Cooperation agreement within the Framework of the Silk Road Economic Belt and the 21st Century Maritime Silk Road Initiative
The University of Nairobi, Kenya Railways Corporation and Beijing Jiaotong University also signed a MoU in support of training railway engineers and managers for SGR operations and management
More Chinese private investors line up for public partnerships
Sio porojo, ni ukweli zinaendeshwa na wachina, zipo clips kibao za sgr yenyu youtube.Acha porojo. Hata safari ya kwanza kabisa treni liliendeshwa na mkenya, tena vijana wa kike very young.
Mkenya alipewa auzie sura tu badae wachina wakashikilia chombo chao hawa jamaa wanatia huruma saana yani ka sgr kao wanatengwa kama vile mayatima kwenye nchi yao wenyeweSio porojo, ni ukweli zinaendeshwa na wachina, zipo clips kibao za sgr yenyu youtube.