Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

You think this is a road in the middle of nowhere.
That 30km stretch will cost more than any road you've ever built in the whole of bongolala.
It is right in the middle of the capital city, with a likelihood of many buildings or skyscrapers being demolished.
Nimecheka eti "that road stretch will cost more than any road you have ever built in the whole of bongolala" How much will it cost?
 
Hivi vibaraka vifuta m.a.v.i ya watu weupe kwa kukurupuka wanasikitsha walahi!
74E7805B-C2D1-4BB6-ABB2-EB9F65C65F78.jpeg
 
Probably bongo kutokana na kwamba ipo kwenye HIPC coz kama inakopesheka mbona Magu alikuwa anaombeleza tumikopo kwa kila mgeni na sijui kama reli itafika Dom mwakani au vipande vilivyosalia vitapata pesa

Imekuwa probably tena!!!!

Wewe hujui unachokiongea,kinachotafutwa sio mkopo ilimradi mkopo,bali ule wenye masharti nafuu.angalia majirani kilichotokea kwenye sgr yao,baada ya ujenzi wachina wanaendesha wao sgr.

So haya mambo sio unajiendea tu,watu wanaweka pesa zaowakitegemea zirudi,masharti yakiwa magumu sana na ukakubali tu,utauza nchi.
 
We buy..but we donate to LDCs

njaa huwa haina siri, tutajua tu hata kama utajaribu kujificha... chezeya njaa wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20180905_155015.jpg
IMG_20180905_155032.jpg
Screenshot_2018-09-05-15-49-43-974_com.twitter.android.jpg
 
Imekuwa probably tena!!!!

Wewe hujui unachokiongea,kinachotafutwa sio mkopo ilimradi mkopo,bali ule wenye masharti nafuu.angalia majirani kilichotokea kwenye sgr yao,baada ya ujenzi wachina wanaendesha wao sgr.

So haya mambo sio unajiendea tu,watu wanaweka pesa zaowakitegemea zirudi,masharti yakiwa magumu sana na ukakubali tu,utauza nchi.
Ok makinikia imeishia wapi
 
Kama ilivyo kawaida ya rais wetu akichomoka huwa harudi mikono mitupu, anatumia nguvu nyingi sana kujiandaa jinsi ya kutumia uzoefu wake kukwapua vinono kutoka kwa hawa. Kacheza kali kwa Trump. kugeuza kashusha nyingine kutoka kwa Theresa May wa UK, wakati wino haujakauka kamfuata Mchina na kukusanya pembeni makampuni yao na kuingia ubia wa public-private partnership (PPP).

mambo haya huwa hayataki ze ze ze, unatumia muda wako kuyachunguza kwa umakini.... Hizi hapa tu baadhi, nitazidi kuleta kadiri zinavyo ongezeka...mpoo?? Mtapata tabu mnaotafuna popcorns..hehehe



30-kilometre expressway running from JKIA across the city (dah hii kali, barabara pana ya mwendo kasi tokea uwanja wa ndege)
Development of Dongo Kundu industrial Special Economic Zone in Mombasa
Two major roads in North Eastern
Completion of Western Bypass
Cooperation agreement within the Framework of the Silk Road Economic Belt and the 21st Century Maritime Silk Road Initiative
The University of Nairobi, Kenya Railways Corporation and Beijing Jiaotong University also signed a MoU in support of training railway engineers and managers for SGR operations and management


More Chinese private investors line up for public partnerships
Mkuu hapa walioinama mkulu wa nchi yenu ni yupi akiucheza mchezo na wachina?
20180905_180557.png
 
Sio porojo, ni ukweli zinaendeshwa na wachina, zipo clips kibao za sgr yenyu youtube.
Mkenya alipewa auzie sura tu badae wachina wakashikilia chombo chao hawa jamaa wanatia huruma saana yani ka sgr kao wanatengwa kama vile mayatima kwenye nchi yao wenyewe
 
Back
Top Bottom