Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kama ilivyo kawaida ya rais wetu akichomoka huwa harudi mikono mitupu, anatumia nguvu nyingi sana kujiandaa jinsi ya kutumia uzoefu wake kukwapua vinono kutoka kwa hawa. Kacheza kali kwa Trump. kugeuza kashusha nyingine kutoka kwa Theresa May wa UK, wakati wino haujakauka kamfuata Mchina na kukusanya pembeni makampuni yao na kuingia ubia wa public-private partnership (PPP).

mambo haya huwa hayataki ze ze ze, unatumia muda wako kuyachunguza kwa umakini.... Hizi hapa tu baadhi, nitazidi kuleta kadiri zinavyo ongezeka...mpoo?? Mtapata tabu mnaotafuna popcorns..hehehe

30-kilometre expressway running from JKIA across the city (dah hii kali, barabara pana ya mwendo kasi tokea uwanja wa ndege)
Development of Dongo Kundu industrial Special Economic Zone in Mombasa
Two major roads in North Eastern
Completion of Western Bypass
Cooperation agreement within the Framework of the Silk Road Economic Belt and the 21st Century Maritime Silk Road Initiative
The University of Nairobi, Kenya Railways Corporation and Beijing Jiaotong University also signed a MoU in support of training railway engineers and managers for SGR operations and management

More Chinese private investors line up for public partnerships
 
Zinakupa maumivu, vipi nyie kule mliuza sura ama mlifaulu kuchomoka na chochote, si huwa mnasema Mchina na CCM ni kama chanda na pete.
Sina taharifa bado.. ila hutuwezi kosa kitu si unajujua sisi ndiyo wababe wa kuvuna FDI. Vipi SGR yenu kufika Kampala? Kongamano limeisha leo sijaona dalili ya M7 kuanguka sign

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M7 asikupe tabu maana sisi ndio tunao kitufe cha kubofya ili apate au asipate, Mchina anatusklizia.
Halafu nyie kwa raslimali zote mlizonazo, mlifaa muongoze dunia kwa FDI.....sio hivyo vipesa wanavyotumiaga kama chambo ili kuchuma kwenye mahandaki yenu.
 
Nyinyi ndiyo mna kitufe!! [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ahsante kwa kunichekesha.. hayo mengine ni povu, kitakacho fuata utatema JIK sasa! B4 that happens, i bid you a farewell, I need my sleep.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinakupa maumivu, vipi nyie kule mliuza sura ama mlifaulu kuchomoka na chochote, si huwa mnasema Mchina na CCM ni kama chanda na pete.
[emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20180904_193945.jpg
 
acha tuweke records sawa maana huyu mkikuyu ni mkurupukaji sana.

huwa hajishughulishi kufanya uchunguzi kwanza.yaani akisikia tu uhuru kenyata, basi immediately anashikwa na mfadhaiko.mahaba yake kwa uhuru kenyatta sio ya kawaida. [emoji23]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_2018-09-05-01-51-57-103_com.twitter.android.jpg
IMG_20180905_015234.jpg
IMG_20180905_015259.jpg
IMG_20180905_015333.jpg
IMG_20180905_015357.jpg
 
Haya bwana sisi tuacheni na ze ze ze yetu kwanza tunajenga ndani kwanza tukitoka nje ni moto wa kuotea mbali

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Kama ilivyo kawaida ya rais wetu akichomoka huwa harudi mikono mitupu, anatumia nguvu nyingi sana kujiandaa jinsi ya kutumia uzoefu wake kukwapua vinono kutoka kwa hawa. Kacheza kali kwa Trump. kugeuza kashusha nyingine kutoka kwa Theresa May wa UK, wakati wino haujakauka kamfuata Mchina na kukusanya pembeni makampuni yao na kuingia ubia wa public-private partnership (PPP).

mambo haya huwa hayataki ze ze ze, unatumia muda wako kuyachunguza kwa umakini.... Hizi hapa tu baadhi, nitazidi kuleta kadiri zinavyo ongezeka...mpoo?? Mtapata tabu mnaotafuna popcorns..hehehe

30-kilometre expressway running from JKIA across the city (dah hii kali, barabara pana ya mwendo kasi tokea uwanja wa ndege)
Development of Dongo Kundu industrial Special Economic Zone in Mombasa
Two major roads in North Eastern
Completion of Western Bypass
Cooperation agreement within the Framework of the Silk Road Economic Belt and the 21st Century Maritime Silk Road Initiative
The University of Nairobi, Kenya Railways Corporation and Beijing Jiaotong University also signed a MoU in support of training railway engineers and managers for SGR operations and management

More Chinese private investors line up for public partnerships
😁 😁 😁 30 kilometer road is less than 25 Tanzanian billion this is another disgrace and insult to the president, how on earth your president lamenting that powerful to the Chinese president and shuttered with only 25 🇹🇿 billion project?

Kule Marekani alitolewa mkuku kwa msaada wa chakula, kwa may hakuna chochote mlichoambulia zaidi ya May kucheza singeli Harambee house

Huko kwa Xi ndio mmepasha viti joto ukumbini for all those days na all that population you recruited matokeo yake mmetolewa nduki na vijibilioni ushuzi na scholarships ambazo tayari mlishaahidiwa tokea 2015 😂 😂 😂 😂 😂

Hiyo express way ni mradi wa siku nyingi sana na tayari 🇨🇳 ilishasema itawapa huo msaada so in short there's absolutely nothing new
 
acha tuweke records sawa maana huyu mkikuyu ni mkurupukaji sana.

huwa hajishughulishi kufanya uchunguzi kwanza.yaani akisikia tu uhuru kenyata, basi immediately anashikwa na mfadhaiko.mahaba yake kwa uhuru kenyatta sio ya kawaida. [emoji23]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 857269View attachment 857271View attachment 857272View attachment 857273View attachment 857274

Hehehe uvuvi....watu wanatia saini makubwa nyie mnahangaika na uvuvi.....oyaaaa
 
Hawa walimtuma waziri mkuu wao China akatafute blackbelt ya karate. Watani wetu nawafahamu vizuri sana. Trust me.
 
Back
Top Bottom