Haya huyo wenu wa CIA mnayemuami kwamba ni mkweli, aletwe sakata la Tundu Lisu!




International politics kama hujui vizuri usije ongelea. RT unaijua vizuri?
 
Mkuu Barbarosa, utaambulia kutukanwa tuu ! Wanapenda kusikia wayatakayo wao tuu !
Kuanza na mkuu sio formula, unapojibu hoja ya mtu ni heshima itokanayo na hoja alizowasilisha. Kwa pumba alizoandika huna haja ya kumwita Mkuu unaweza kumwita jinga!
 
system mzima inaendeshwa hivyo....

wasipokutaka watakusingizia ama kukutengenezea scandal


Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafsiri yako ya kilokole...[emoji16][emoji16]

Kina Patrice Lumumba walikuwa watakatifu ila CIA iliwatoa roho...

Wanaiba madini Africa viongozi wa kiafrika wakiwakosoa CIA wanakutengenezea upinzani na kashfa...

Worldwide assassinations za wanyonge na wapenda haki.. Zinaendeshwa na hao..

Hiyo sio taasisi ya kikanisa ila maslahi ya nchi yao...

They can do anything kwa faida ya nchi yao ikiwamo wizi uwongo na dhulma..

Elewa acha kuamini..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata dhulma kwa mataifa mengine..
hata kuwaua viongozu wazalendo wa nchi zao
kupandikiza propaganda ma upinzani kwa wasiowataka
Regardless.

They lied what? They cheated what? They stole what? Specifically?

If it was something of substantial concern and security of the USA , then what he proclaimed makes great deal of sense.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…