Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Mleta uzi ana akili za MaitiAliyekunyima maziwa, ndiye aliyekutegea sumu ili ufe, CIA wanini tena?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta uzi ana akili za MaitiAliyekunyima maziwa, ndiye aliyekutegea sumu ili ufe, CIA wanini tena?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekunyima maziwa, ndiye aliyekutegea sumu ili ufe, CIA wanini tena?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote ni zero brain ni vi degree vyao vya kyupiPamoja na kuhamisha magoli Mkuu,lakini uelewa wa watu wa Mitaa hiyo wa masuala ya kimataifa unatia mashaka.Kwa mfano Rais wa Libya ni Sadam Hussein.imekaaje hiyo?
We kweli kilaza, kwaiyo kila Mzungu ni CIA?Kila siku wanataka Muzungu aje!
Omba mod wafute hii thread umejizalilisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muuulize CIA director Mike Pompeo, mimi sijui!
Omba mod wafute hii thread umejizalilisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri kanawe miguu ulale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo mlitaka Muzungu gani aje kuchunguza? Mlisema mnataka USA aje, au?
Lini waliwahi kuomba CIA waletwe nchini kuchunguza jambo?
Chadema na wengineo wanataka CIA waletwe nchini kuchunguza waliomshambulia Tundu Lisu, wanasema Muzungu hadaganyi na kuita eti uchunguzi huru na hawana imani na watu wetu wa Tanzania, sasa huyo ni aliyekuwa Top Boss wa CIA Mike Pompeo akitupa mbili tatu zake kuhusu wanavyofanya kazi kama CIA, ...
I was the CIA director, we lied, we cheated, we stole, ... Mike Pompeo.
![]()
Did Mike Pompeo Really Say This About CIA on Russian State TV?
Context always matters — including location.www.snopes.com
International politics kama hujui vizuri usije ongelea. RT unaijua vizuri?
Kuanza na mkuu sio formula, unapojibu hoja ya mtu ni heshima itokanayo na hoja alizowasilisha. Kwa pumba alizoandika huna haja ya kumwita Mkuu unaweza kumwita jinga!Mkuu Barbarosa, utaambulia kutukanwa tuu ! Wanapenda kusikia wayatakayo wao tuu !
Kwahiyo madudu ya mtu mmoja ndio uhitimishe CIA wapo kama huyo jamaa?
Fallacy of generalization.
Lumumba bongo zenu ni mashudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madam unakosea wapi!? Hayo ni matamshi yake binafsi si taarifa rasmi ya taasisi. Huwezi ondoa imani mfanobkwa jeshi letu la polisi kwa tukio la askali mmoja ama wachache kufanya makosa. Muhimu kujua wapo wanadamu ndani ya taasisi na wana madhaifu yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Barbarosa, utaambulia kutukanwa tuu ! Wanapenda kusikia wayatakayo wao tuu !
Hapo ni sawa na IGP wa Tanzania aseme, sisi askari tunadanganya, tunaongopea na tunaiba. Lakini hamaanishi kuwa yeye ndio ametenda au anatenda hayo, bali anamaanisha hata ukienda magerezani utakuta askari waliohukumiwa adhabu mbalimbali kwamakosa kama hayo au zaidi ya hayo.
Hii haimaniishi ukisikia mtu ni mwana usalama ukafikiri ni mtakatifu sana. Nope!
Regardless.
They lied what? They cheated what? They stole what? Specifically?
If it was something of substantial concern and security of the USA , then what he proclaimed makes great deal of sense.
Sent using Jamii Forums mobile app