Haya kwa wale wanaume ambao mnataka kujua kama watoto mlionao ni wenu au mmebambikiwa kuleni chuma hiki cha DNA ya bure na ya asili

Mimi nachojua mtoto kama ni wako hakuna haja ya kupima DNA vipo vingi vya kuthibitisha kua ni wako kwa kuangalia mwili wake kuanzia unyayo hadi utosini( physical traits) kama hio haitoshi kuna ishu ya uzito pia inamata sana.
 
"Oya, wewe kaka, unasema DNA ni ya bure na ya asili, lakini ukweli ni nini? Unadhani kitoto kile unachokipenda na kumudu chakula chake kila siku kinaweza kuwa sio chako kwa sababu tu ulikula 'chuma' cha asili? Hoja yako inaleta picha ya wanaume wengi wanaishi kwa hofu ya kubambikiwa, lakini swali langu ni hili: Je, unategemea tu DNA ya asili au unakagua maisha yako na uhakika wa mkeo kabla ya kuleta maigizo ya Hollywood hapa? Chuma cha DNA ni kizuri, lakini akili na uaminifu vina nguvu zaidi, si unadhani?"
 
jumapili ijayo ntakuwa na hiyo kiliniki pale nyumbani bila ya wao kujua
 
jamaa inaonekana kamtuma wa kwanza holah! wa pili holah! akaona asiendelee na huo ujinga
 
Wazee wanasema nyie mliobambikiwa watoto na wake zenu wachepukaji muwalee tu maana wamezaliwa ndani ya ndoa zenu hamna ujanja wa kuwakataa. Tena wanasema kitanda hakizai haramu
 
Kuna mama mmoja ndani ya basi alianzisha mada ya kuchepuka na kudai ni kuzuri kuleta mbegu nyingine genius kama mume dunya na anazaa madunya mke achepuke ili kuleta mbegu bora kwenye familia ya madunya
 
Kimsingi unatakiwa uwe mpole na utulie usilete fujo unapochapiwa utapata mtoto mwenye akili zaidi kuliko matoto yako yenye akili mbovu wewe uliyoyazaa. Kule kaskazini mbugni hufurahia kupata mbengu tofauti ndani ya boma na huona ni ushindi
 
Sasa kama we na mke wako mna sura mbaya akijitokeza jamaa handsome boy akakachomekea goli lake huko hamuoni kuwa mtapata pisi kali za kuja kupata mahari kubwa na nono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…