Haya kwa wale wanaume ambao mnataka kujua kama watoto mlionao ni wenu au mmebambikiwa kuleni chuma hiki cha DNA ya bure na ya asili

Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika.

Haya kama Mtoto wako ana ule Umri mfano wa yule Mtoto mdogo wa Dotto Magari (kuanzia miaka miwili au minne na hata mitano) hakikisha Asubuhi ya mapema (hasa akitoka Kuamka) mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.

Ukitaka kujua ni wapi nimeutoa huu Ukweli tembelea huu Mtandao wa zandaaanikabisa ambapo Mtaalam amefafanua.

Sasa GENTAMYCINE ninaanza kujiandaa kwenda Kuwapanga hawa kadhaa nilionao nijue ni wangu au mrangi kanipigia!!
Njia ya kwanza kabisa ya kujua mtoto ni wako ( wenu kwenye ukoo) ni kwa kuangalia alama ya mchoro wa kiganjani kama hajachukua yako au ya mama yake basi moja kwa moja huyo mtoto sio wako.

Ila kama kachukua alama ya mchoro wa kiganja mkono vya mama yake fanya hivi angalia haraka vidole vya miguuni, kucha na mikunjo yake , au mikunjo ya masikio na macho lazima atakua na vya kwako kama hana hata kimoja sio wako

Ipo hivi katika maeneo 15 ya baba na mama mtoto anachukua 15 mfanano wa baba na 15 mfanano wa mama. Ila asilimia 100% kwa haraka kama mchoro wa kiganja cha mkono unafanana wako na mtoto hakuna haja ya kuangaika kwa chochote huyo moja kwa moja ni wako (wa ukoo wenu)
 
mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.
. Mkuu hii naipa 99.5%, 😋😋😋
 
Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika.

Haya kama Mtoto wako ana ule Umri mfano wa yule Mtoto mdogo wa Dotto Magari (kuanzia miaka miwili au minne na hata mitano) hakikisha Asubuhi ya mapema (hasa akitoka Kuamka) mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.

Ukitaka kujua ni wapi nimeutoa huu Ukweli tembelea huu Mtandao wa zandaaanikabisa ambapo Mtaalam amefafanua.

Sasa GENTAMYCINE ninaanza kujiandaa kwenda Kuwapanga hawa kadhaa nilionao nijue ni wangu au mrangi kanipigia!!
Dah,hii kali,ila wangu mimi wote wameshavuka 20yrs,ngoja niangalie kama inaweza kufanya kazi...
 
Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika.

Haya kama Mtoto wako ana ule Umri mfano wa yule Mtoto mdogo wa Dotto Magari (kuanzia miaka miwili au minne na hata mitano) hakikisha Asubuhi ya mapema (hasa akitoka Kuamka) mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.

Ukitaka kujua ni wapi nimeutoa huu Ukweli tembelea huu Mtandao wa zandaaanikabisa ambapo Mtaalam amefafanua.

Sasa GENTAMYCINE ninaanza kujiandaa kwenda Kuwapanga hawa kadhaa nilionao nijue ni wangu au mrangi kanipigia!!
DNA test ya Kiafrika nafahamu chache 1) Wachukue watoto wote wachanganye pamoja, wale wataojamiana/jumuika pamoja kwa kucheza hata kufikia kugombana hao ni damu yako ila atakaejitenga huyo sio wako.
2) Kama una mifugo (wanyama hasa Ng'ombe), chukua beseni mweke mtoto kisha sogeza karibu na Zizi la ng'ombe. Fungua geti kisha toa ng'ombe angalau wawili wakiwa wanapita watamnusa au kumlambalamba. Wakifanya hivyo tambua huyo ni mwanao ila kama sio wako atamjeruhi pengine hata kumpoteza mtoto. ( Hii njia ni athari sana , mwanamke lazima awe na uhakika 100 la sivyo mnaua mtoto)
 
Back
Top Bottom