Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hilo linajulikana kwa kila mtu hapa, endelea kuona fahari kupumuliwa kisogoni.Kwa mimi 'Kushindiliwa' na dingi angu ni ufahari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo linajulikana kwa kila mtu hapa, endelea kuona fahari kupumuliwa kisogoni.Kwa mimi 'Kushindiliwa' na dingi angu ni ufahari
Njia ya kwanza kabisa ya kujua mtoto ni wako ( wenu kwenye ukoo) ni kwa kuangalia alama ya mchoro wa kiganjani kama hajachukua yako au ya mama yake basi moja kwa moja huyo mtoto sio wako.Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika.
Haya kama Mtoto wako ana ule Umri mfano wa yule Mtoto mdogo wa Dotto Magari (kuanzia miaka miwili au minne na hata mitano) hakikisha Asubuhi ya mapema (hasa akitoka Kuamka) mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.
Ukitaka kujua ni wapi nimeutoa huu Ukweli tembelea huu Mtandao wa zandaaanikabisa ambapo Mtaalam amefafanua.
Sasa GENTAMYCINE ninaanza kujiandaa kwenda Kuwapanga hawa kadhaa nilionao nijue ni wangu au mrangi kanipigia!!
. Mkuu hii naipa 99.5%, 😋😋😋mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.
Kama Wewe Mwandamizi wangu wa Kupumuliwa huko.Hilo linajulikana kwa kila mtu hapa, endelea kuona fahari kupumuliwa kisogoni.
Sahv watu ni mtifuano tu huko majumbani 😄 baada ya kufanya hilo zoezi la kipimo asiliaKama Wewe Mwandamizi wangu wa Kupumuliwa huko.
Ni kweli Mkuu na kuna Njemba Mbili hapa zimekuja 'PM' na Kunishukuru kwani Zoezi wamelifanya na Kuliamini kwa 100%Sahv watu ni mtifuano tu huko majumbani 😄 baada ya kufanya hilo zoezi la kipimo asilia
Ova
Naona povu linawatoka 😄Ni kweli Mkuu na kuna Members Wawili hapa wamekuja PM na Kunishukuru kwani Zoezi wamelifanya na Kuamini kwa 100%
Nenda chuga machalii watamaliza upwiru wako wote gayMimi ni Mwandamizi wako wa Kunipumulia kisogoni .
Sawa Mkuu wa Gays wote.Nenda chuga machalii watamaliza upwiru wako wote gay
Hilo linajulikana sana 😂Mimi ndiye Mkuu wa Gays wote bongo.
Na Baba yako Mzazi.Hilo linajulikana sana 😂
Dah,hii kali,ila wangu mimi wote wameshavuka 20yrs,ngoja niangalie kama inaweza kufanya kazi...Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika.
Haya kama Mtoto wako ana ule Umri mfano wa yule Mtoto mdogo wa Dotto Magari (kuanzia miaka miwili au minne na hata mitano) hakikisha Asubuhi ya mapema (hasa akitoka Kuamka) mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.
Ukitaka kujua ni wapi nimeutoa huu Ukweli tembelea huu Mtandao wa zandaaanikabisa ambapo Mtaalam amefafanua.
Sasa GENTAMYCINE ninaanza kujiandaa kwenda Kuwapanga hawa kadhaa nilionao nijue ni wangu au mrangi kanipigia!!
Acheni kutupiana matusi bro si vyemaNenda chuga machalii watamaliza upwiru wako wote gay
Nani katupia matusi hapa?Acheni kutupiana matusi bro si vyema
DNA test ya Kiafrika nafahamu chache 1) Wachukue watoto wote wachanganye pamoja, wale wataojamiana/jumuika pamoja kwa kucheza hata kufikia kugombana hao ni damu yako ila atakaejitenga huyo sio wako.Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika.
Haya kama Mtoto wako ana ule Umri mfano wa yule Mtoto mdogo wa Dotto Magari (kuanzia miaka miwili au minne na hata mitano) hakikisha Asubuhi ya mapema (hasa akitoka Kuamka) mwambie aende Kukojoa Haja Ndogo kisha Wewe simama ukimtizama na ukiona huyo Mtoto anaelekea / anaenda Kukojoa na akageuka Kukuangalia jua huyo kwa 100% ni wako na ukiona anaenda /anaelekea halafu wala hajishughulishi kuangalia nyuma / au kukuangalia jua kwa 100% huyo Mtoto siyo wako.
Ukitaka kujua ni wapi nimeutoa huu Ukweli tembelea huu Mtandao wa zandaaanikabisa ambapo Mtaalam amefafanua.
Sasa GENTAMYCINE ninaanza kujiandaa kwenda Kuwapanga hawa kadhaa nilionao nijue ni wangu au mrangi kanipigia!!
Nani kaanza hapo? Idiot.Nani katupia matusi hapa?
Jitathimini sasaMimi ndio nimeanza kuleta Idiot.