Haya kwa wale wanaume ambao mnataka kujua kama watoto mlionao ni wenu au mmebambikiwa kuleni chuma hiki cha DNA ya bure na ya asili

Kuna vijana hawajapevuka..mnataka Dada zetu waachike asubuhi na mfungo huu double double
 
Watu wanaliaaa tu sahv humu kimya kimya

Ova
Nimeliona hilo Mkuu hasa huyu Kasiano Muyenzi ambaye kaja (kule Mafichoni) na kusema kuwa ana Watoto Saba na wote kafanya hilo Zoezi ni Mmoja tu ndiyo Kageuka nyuma wengine wote Saba ni Mabao ya Wanaume wengine kayalea na anayalea na kuchukia kwanini nimeleta hii DNA ya Kiutamaduni iliyomuumbua?
 
Alfu Lela Ulela zimenoga hapa mamaeeh...

Usikimbie kule tunapopeana makuvu, endelea ku QUOTE comments zangu nikupe makavu we popoma.
 
Aiseee

Ova
 
Si bora ungeniuliza mimi ...jinsi ya kujua mtoto asiye wako ? Njia sahihi na nafuu na nyepesi inayoweza kukupa majibu ya uhakika kama mtoto siyo wako kwa asilimia 100% hila hii njia aiwezi kukupa majibu ya uhakika kama mtoto ni wako ...someni nilicho andika kwa makini kabla amjakurupuka ...ni kuangalia group ya damu kama mtoto wako group yake ya damu si sawa na yako huyo mtoto siyo wako kwa asilimia 100% ila kama group ni kama yako basi hapo tunabaki atujui kama mtoto ni wako au la ila tayari utakuwa umejiakikishia kwa asilimia kubwa kuwa anaweza kuwa wako...kuna kiji hesabu kidogo cha kuzingatia hapa maana mtoto uchukua group ya damu pande zote mbili za mzazi hivyo inapo kosekana group yako katika damu ya mtoto basi huyo mtoto siyo wako.
 
Alfu Lela Ulela zimenoga hapa mamaeeh...

Usikimbie kule tunapopeana makuvu, endelea ku QUOTE comments zangu nikupe makavu we popoma.
Umeshaona Mzanaki au Myahudi au Mtutsi anaogopa / hapendi Vita? Katika Vita vya maneno sina Mpinzani hapa JF Ok?
 
Rubbish.
 
Umeshaona Mzanaki au Myahudi au Mtutsi anaogopa / hapendi Vita? Katika Vita vya maneno sina Mpinzani hapa JF Ok?
We mzaramo umekuwa mzanaki lini?

Kutwa kujivika sifa za wanaume wa sura za kazi ilhali unashinda kwenye kijiwe cha kahawa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We mzaramo umekuwa mzanaki lini?

Kutwa kujivika sifa za wanaume wa sura za kazi ilhali unashinda kwenye kijiwe cha kahawa πŸ˜‚πŸ˜‚
Hujui kuwa hata Basha wako nae huwa tunashinda nae katika Vijiwe vyetu vya Kahawa?
 
Aisee πŸ˜‚
Uzuri ni kwamba posts zangu zote nilizondika mwenyewe zipo na zimeshaonekana hivyo kubadili Kwako hayo Maelezo yangu yaonekane kuwa nimeandika mwenyewe kwakuwa tu Wewe nje ya hii ID yako pia una ID yako kama Mmoja wa Watendaji wa huu Mtandao kutokana na kwamba ni Wao pekee ndiyo wana access ya posts zote za Members hapa na wanaweza Kubadili au Kuhakiki Kichwa cha Habari au Post. Endelea kisha nikuumbue na ID yako ya Kiutendaji wa huu Mtandao ili Uumbuke Pumbavu Wahed Wewe.

Nimemaliza.
 
Kwani viganja haviwezi kufanana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…