Kumbe? Basi sawaMfumuko wa Bei ndio wanadai
Kwamba AI kwa siku 4 mfululizo?Hii ni AI
YEah. Propaganda za USAKwamba AI kwa siku 4 mfululizo?
Hadi Rais wao kuita mashauriano baina ya waandamanaji na serikali?
Huo ndo ufala Wa KhemeneiWairani ni Wala bata tu Kama watu wengine , sheria kali za kidini wamezichoka .
Hezbollah/Hamas na Houth sijui watakuwa na hali ganiMapinduzi ya kiislam ya iran ndio basi tena! Utawala wa maayatollah unaenda kuangushwa kirahisi bila kutumia nguvu nyingi za kijeshi toka nje. Wairan wenyewe wanataka mabadiliko nchini mwao
Ila ni ajabu sana aisee?Kwamba AI kwa siku 4 mfululizo?
Hadi Rais wao kuita mashauriano baina ya waandamanaji na serikali?
hayo makundi yanayofadhiliwa na utawala wa maayatollah itabidi yajifie kifo cha kombamwiko, maana kutakuwa na utawala usiowafadhiliHezbollah/Hamas na Houth sijui watakuwa na hali gani
kumbe ile idhaa naww unaifahamu,aise ukisoma habari za nikama upo dunia nyingneHuo utawala wa kiislam ukianguka ile idhaa yao ya kiswahili redio tehran itakuwa inatangaza propaganda gani za kiislam? Bora tu ushenzi huo wa kiislam uanguke tuone nchi za kiafrika zenye kufuata dini hiyo zitaendeshaje siasa zao. Waafrika wajifunze na kuacha kufuata dini za kigeni na tamaduni zao