Haya maandamano ya Iran ndio anguko la taifa la Kiislamu?

Haya maandamano ya Iran ndio anguko la taifa la Kiislamu?

Huko hakuna askari wa kuwalenga visogo na mgongoni?

Anyway mwisho wa Ayatollah umefika. Watu wamechoka utawala wa Shariah
 
Kobazi wanasemaje je na huko kuna TEC ?
 
Huo utawala wa kiislam ukianguka ile idhaa yao ya kiswahili redio tehran itakuwa inatangaza propaganda gani za kiislam? Bora tu ushenzi huo wa kiislam uanguke tuone nchi za kiafrika zenye kufuata dini hiyo zitaendeshaje siasa zao. Waafrika wajifunze na kuacha kufuata dini za kigeni na tamaduni zao
Iran ni madhehebu ya washia
Influence yao sio kubwa sana Afrika , 95% ya Waislam Afrika ni Sunni
Uislam hauwezi na hauta kufa kwa kuanguka utawala wa Iran
Zaidi hiyo nchi itapitia njia ya Somalia, Iraq, Libya na Syria kwenye “demokrasi ya magharibi”
Huko mnakokuita “nchi za kikiristo” wajiandas kupokea wakimbizi wengi zaidi kutoka Iran
Rudi kwenye historia uangalie kabla ya hapo kulikuwa na Persian Empire
Kwengineko kulikuwa na empires tofauti za Umayyad, Abbassid, Fatimid mpaka Ottoman ambazo zilimiliki maeneo makubwa mpaka Asia yote, Bara Arab, Afrika Kaskazini mpaka Spain, Italia na Balkans
Hizo empire zote zilianguka lakini uislam umeendelea kushamiri na sasa robo ya binadamu wote ni waislam
Achana kusikiliza Radio Teheran , hangaika na Radio Maria na Vatican ujifunze hata bibilia yako na ukirisito
 
kumbe ile idhaa naww unaifahamu,aise ukisoma habari za nikama upo dunia nyingne
zamani tulikuwa tunaipata kwenye yale masafa ya sw, siku hizi tunaipata kupitia redio maarifa ya kiislam iliyoko tanga kwa masafa ya fm. Wanaongeaga porojo zao miaka nenda rudi ni zilezile za israel na marekani
 
Back
Top Bottom