DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Mbona kawaida tuu. Kwanza wanapendelewa. Inapaswa watu watwange game kama ulaya tuu. Jtano jmosi jnne upo mzigoni.Nimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila naona kuna mapungufu makubwa.
Tukianzia, nimeshangaa kuona game ya KMC vs Simba ya tarehe 11/05 bado ipo pale pale. Hii mechi ilistahili iahirishwe hasa baada ya KMC kuipeleka Tabora, sehemu ambapo hamna hata uwanja wa ndege na hapo hapo Simba ina mechi ya fainali Morocco baada ya siku 6. Tukumbuke kule nchi za Kaskazini ni kipindi cha ubaridi kwa hiyo ningetegemea Simba ingeenda siku kadhaa kabla ili kuzoea hali ya hewa.
Tukija mechi ya Singida imepangwa siku 3 tu baada ya fainali ya pili kwa Mkapa. Aliyepanga hivi alikuwa anawaza nini?
Tena baada ya siku 3, Simba na Singida inabidi zikutane tena katika nusu fainali ya CRDB huko Manyara, mji mwingine ambao hauna uwanja wa ndege.
Simba ingeweza kukubali kucheza hizo mechi walau mbili bila uwepo wa wachezaji wake walio timu ya taifa na pia Singida na KMC hawana wachezaji kwenye timu za taifa. Hizi mechi mbili za ligi na ile ya CRDB zingepewa gape zikachezwa hata wakati wa international break kama utaratibu unaruhusu.
Bingwa wa umbumbumbu nakubebwasimba ni bigwa msimu huu usiniulize ni kwa nini.
Au hizo mechi zilizobaki watupe tuzipige zote mbili kwa wakati mmoja timu a ya kina mpanzu ikipige na singida, na tim b yakina mutale ikipige na hiyo kcmc sijui🤔Mbona kawaida tuu. Kwanza wanapendelewa. Inapaswa watu watwange game kama ulaya tuu. Jtano jmosi jnne upo mzigoni.
Sema tuu napo africa mambo ya kingese sana. Kwenda morocco mtu apitie dubai au uturuki ndio maajabu ya waafrica
Mambo ya papa zahera mechi mbili siku moya 🤣🤣🤣🤣Au hizo mechi zilizobaki watupe tuzipige zote mbili kwa wakati mmoja timu a ya kina mpanzu ikipige na singida, na tim b yakina mutale ikipige na hiyo kcmc sijui🤔
Wewe ulivyokua unabebwa umeshushwa?Bingwa wa umbumbumbu nakubebwa
Huko ulaya mzee. Timu zina ndege zao na kila mji una viwanja vya ndege. Kwanza tuwe na kanuni, mji hauruhusiwi kuwa na timu ligi kuu mpaka uwe na uwanja wa ndege. Tumecheleweshwa sana.Mbona kawaida tuu. Kwanza wanapendelewa. Inapaswa watu watwange game kama ulaya tuu. Jtano jmosi jnne upo mzigoni.
Sema tuu napo africa mambo ya kingese sana. Kwenda morocco mtu apitie dubai au uturuki ndio maajabu ya waafrica
Kuna timu msimu huu imefanya hivyo, nadhani Pyramids kama sikosei. Walisafiri nje kwenda kwenye CAFCL, halafu kikosi kingine kikacheza mechi ya ligi.Mambo ya papa zahera mechi mbili siku moya 🤣🤣🤣🤣
Ila ligi letu la kingese kweli tunashindwa panga ratiba timu 16 tunamaliza june mwishoni wakati wenye timu 20 may mwishoni story imeisha.
Kutakua na direct flight Mama atatoa ndege. Laa takhafMbona kawaida tuu. Kwanza wanapendelewa. Inapaswa watu watwange game kama ulaya tuu. Jtano jmosi jnne upo mzigoni.
Sema tuu napo africa mambo ya kingese sana. Kwenda morocco mtu apitie dubai au uturuki ndio maajabu ya waafrica
Na June 15 tunamfunga Yanga goli za kutosha maana ubingwa bila kumfunga Yanga haunogi.simba ni bigwa msimu huu usiniulize ni kwa nini.
Bingwa wa kukata kiunosimba ni bigwa msimu huu usiniulize ni kwa nini.
Kama nyie wanaume ingieni final CRDB cupNa June 15 tunamfunga Yanga goli za kutosha maana ubingwa bila kumfunga Yanga haunogi.
Sisi fainali zote tunaingia siyo za hapa tu hata za kimataifaK
Kama nyie wanaume ingieni final CRDB cup
Simba wao ni maarufu wa kukimbia mechi, wasiende uwanjani .Nimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila naona kuna mapungufu makubwa.
Tukianzia, nimeshangaa kuona game ya KMC vs Simba ya tarehe 11/05 bado ipo pale pale. Hii mechi ilistahili iahirishwe hasa baada ya KMC kuipeleka Tabora, sehemu ambapo hamna hata uwanja wa ndege na hapo hapo Simba ina mechi ya fainali Morocco baada ya siku 6. Tukumbuke kule nchi za Kaskazini ni kipindi cha ubaridi kwa hiyo ningetegemea Simba ingeenda siku kadhaa kabla ili kuzoea hali ya hewa.
Tukija mechi ya Singida imepangwa siku 3 tu baada ya fainali ya pili kwa Mkapa. Aliyepanga hivi alikuwa anawaza nini? Hapa Simba ilistahili ipewe walau siku 3 za mapumziko, hata kwa heshima tu ya kile ambacho imeifanyia nchi msimu huu.
Tena baada ya siku 3, Simba na Singida inabidi zikutane tena katika nusu fainali ya CRDB huko Manyara, mji mwingine ambao hauna uwanja wa ndege.
Simba ingeweza kukubali kucheza hizo mechi walau mbili bila uwepo wa wachezaji wake walio timu ya taifa na pia Singida na KMC hawana wachezaji kwenye timu za taifa. Hizi mechi mbili za ligi na ile ya CRDB zingepewa gape zikachezwa hata wakati wa international break kama utaratibu unaruhusu.
Mnapenda sana kudeka nyinyi mbereko fcNimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila naona kuna mapungufu makubwa.
Tukianzia, nimeshangaa kuona game ya KMC vs Simba ya tarehe 11/05 bado ipo pale pale. Hii mechi ilistahili iahirishwe hasa baada ya KMC kuipeleka Tabora, sehemu ambapo hamna hata uwanja wa ndege na hapo hapo Simba ina mechi ya fainali Morocco baada ya siku 6. Tukumbuke kule nchi za Kaskazini ni kipindi cha ubaridi kwa hiyo ningetegemea Simba ingeenda siku kadhaa kabla ili kuzoea hali ya hewa.
Tukija mechi ya Singida imepangwa siku 3 tu baada ya fainali ya pili kwa Mkapa. Aliyepanga hivi alikuwa anawaza nini? Hapa Simba ilistahili ipewe walau siku 3 za mapumziko, hata kwa heshima tu ya kile ambacho imeifanyia nchi msimu huu.
Tena baada ya siku 3, Simba na Singida inabidi zikutane tena katika nusu fainali ya CRDB huko Manyara, mji mwingine ambao hauna uwanja wa ndege.
Simba ingeweza kukubali kucheza hizo mechi walau mbili bila uwepo wa wachezaji wake walio timu ya taifa na pia Singida na KMC hawana wachezaji kwenye timu za taifa. Hizi mechi mbili za ligi na ile ya CRDB zingepewa gape zikachezwa hata wakati wa international break kama utaratibu unaruhusu.
Nimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila naona kuna mapungufu makubwa.