Haya mabadiliko ya ratiba siyo rafiki kabisa kwa Simba SC

Tabora hakuna uwanja wa ndege? Lazima utakuwa mgonjwa wewe.
 
Nikiwa naongea muwe mnanisikiliza. Siandiki vitu ili mradi tu.

Anyway, kuanzia sasa nitakuwa nje ya Jamii Forums hadi msimu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…