Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mswahili msawahili na utakuwa mtu wa pwani. Wa bara haya hayako kwenye vichwa vyao. Ni msongamano wa watu, mabasi kidogo na watu mawazo hayaendi huko maana hapo mtu anachunga mifuko, kuangalia kituo atelemke....wewe unawaza hilo!. Wewe akili zako unazipeleka kwenye utamaduni wako, nisamehe kama umekwazika kwa jibu langu
Watu wa Pwani wamekukosea nini?Mswahili msawahili na utakuwa mtu wa pwani. Wa bara haya hayako kwenye vichwa vyao. Ni msongamano wa watu, mabasi kidogo na watu mawazo hayaendi huko maana hapo mtu anachunga mifuko, kuangalia kituo atelemke....wewe unawaza hilo!. Wewe akili zako unazipeleka kwenye utamaduni wako, nisamehe kama umekwazika kwa jibu langu
Safari za design hii zinakuwaga fupi mno.