Haya mabasi ya mwendo kasi gerezani kimara yana majaribu makali sana

Wanapeana joto mdogo mdogo! [emoji39][emoji39]

Hapo jamaa anaweza kupitiliza kituo
 
Mswahili msawahili na utakuwa mtu wa pwani. Wa bara haya hayako kwenye vichwa vyao. Ni msongamano wa watu, mabasi kidogo na watu mawazo hayaendi huko maana hapo mtu anachunga mifuko, kuangalia kituo atelemke....wewe unawaza hilo!. Wewe akili zako unazipeleka kwenye utamaduni wako, nisamehe kama umekwazika kwa jibu langu
 
Watu wa Pwani wamekukosea nini?

Au walikuchukulia mkeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…