Haya machafuko yaliyoko Ufaransa kama yangetokea China au Urusi mabeberu wangeshangilia sana, kama walivyoshangilia uasi wa Wagner

Shida Urusi na China hawachelewi kusingizia mkono wa mabeberu kana kwamba hawaelew malalamiko ya wananchi wao
Na pia urusi na China handling ya maandamano hayo ingesababisha vifo vingi vya waandamanaji na wengi kuswekwa ndani.
 
Kwanini wewe na wenzako msianzishe chombo chenu cha habari mrushe habari ambazo hao bbc na dw hawazirushi ?
 
Kwanini wewe na wenzako msianzishe chombo chenu cha habari mrushe habari ambazo hao bbc na dw hawazirushi ?
😂😂......aisee!

Mimi ni mtumiaji wa bidhaa. (Service consumer) I am receiver of deployed service. Kwa muktadha huu mimi ni mtazamaji na msikilizaji. Nimetoa maoni kama mlaji. Haina haja kunikasirikia mkuu.
 
[emoji23][emoji23]......aisee!

Mimi ni mtumiaji wa bidhaa. (Service consumer) I am receiver of deployed service. Kwa muktadha huu mimi ni mtazamaji na msikilizaji. Nimetoa maoni kama mlaji. Haina haja kunikasirikia mkuu.
Sasa in case hao wanaokulisha taarifa , wakiendelea kukupa info ambazo sio sahihi utaendelea kuwategemea ?
 
Mkuu asante kwa kuona hilo.hawa watu wa west na vyombo vyao vya habar wamevuruga xnaa africa na Middle East .ila watu bdo wanawaona kama ndio miungu ya dunia.that why tunafurai Russia anachofanya c kwa kupenda but na wao waone machungu tunayopitia kwenye vita.na huko France pazid kuwaka tuone kama watamtoa macron kwa nguv kama walivomtoa gadafi na wengineo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…