Na pia urusi na China handling ya maandamano hayo ingesababisha vifo vingi vya waandamanaji na wengi kuswekwa ndani.Shida Urusi na China hawachelewi kusingizia mkono wa mabeberu kana kwamba hawaelew malalamiko ya wananchi wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pia urusi na China handling ya maandamano hayo ingesababisha vifo vingi vya waandamanaji na wengi kuswekwa ndani.Shida Urusi na China hawachelewi kusingizia mkono wa mabeberu kana kwamba hawaelew malalamiko ya wananchi wao
Ni waarabukwa hiyo wanao andamana na kuvhoma moto na kuharibu nchi ni wahamiaji ...eti..View attachment 2673978
basi wacha tuseme wanao choma moto ufaransa ni wahamiaji
Kwanini wewe na wenzako msianzishe chombo chenu cha habari mrushe habari ambazo hao bbc na dw hawazirushi ?Nimekuwa nikiangalia Western media kama vile BBC ,DW CNN,SKY NEWS,FRANCE 24. Vyombo vyote hivi vina ajenda moja kushambulia,kukosoa,kudhihaki,kupaka matope taifa au mtawala anayeenda tofauti na sera au ajenda zao. Lakini pia ni kukuza mabaya ya mataifa mengine.
Kwa kinachoendelea Ufaransa jamaa hawezi kukiweka kama ingekuwa China,Russia,Iran,n.k. Sasa hivi wanaiandama South Africa Kwa mbali.
😂😂......aisee!Kwanini wewe na wenzako msianzishe chombo chenu cha habari mrushe habari ambazo hao bbc na dw hawazirushi ?
Sasa in case hao wanaokulisha taarifa , wakiendelea kukupa info ambazo sio sahihi utaendelea kuwategemea ?[emoji23][emoji23]......aisee!
Mimi ni mtumiaji wa bidhaa. (Service consumer) I am receiver of deployed service. Kwa muktadha huu mimi ni mtazamaji na msikilizaji. Nimetoa maoni kama mlaji. Haina haja kunikasirikia mkuu.
Kundule ni dhahabuNyani haoni kundule
Ata huku hili la Bandary tumepishana nalo tu....ila.siku hipo lazima kinuke
Nimekuwa nikiangalia Western media kama vile BBC ,DW CNN,SKY NEWS,FRANCE 24. Vyombo vyote hivi vina ajenda moja kushambulia,kukosoa,kudhihaki,kupaka matope taifa au mtawala anayeenda tofauti na sera au ajenda zao. Lakini pia ni kukuza mabaya ya mataifa mengine.
Kwa kinachoendelea Ufaransa jamaa hawezi kukiweka kama ingekuwa China,Russia,Iran,n.k. Sasa hivi wanaiandama South Africa Kwa mbali.
Utakuwa na UTI hadi kichwani wewe,Pumba unazo wewe humo kichwani.Pumba [emoji1005]