Aiba
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 2,047
- 3,912
Wewe Lin ulitawalwa kidemokrasiaTuombe Mungu hii vita imalizike salama maana imeleta madhara makubwa sana kwa binadamu. Shida ni kwamba Mrusi siku zote hawezi kukubali kushindwa. Kumbuka kuwa anatawala ki dictator na watu wake kufa kwake siyo shida,